The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Kwamba wanapika jikoni afu harufu inapenya masterbedroom
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba wanapika jikoni afu harufu inapenya masterbedroom
Reasonable lakini, Hongera sana Mkuu
Kwamba wanapika jikoni afu harufu inapenya masterbedroom
Nakuelewa mkuu,Ahsante mkuu. Hapo sijaweka top za milango. Yaani mafundi inatakiwa wakikwambia hakuna vitu flani wasubirishe kwanza akili itulie. Ukiwa unatoa tu utapelekeshwa sana.
Msingi uliondoka na pesa ndefu kutokana na ule udongo kuwa wa mfinyanzi. Unakata nyumba sana usipoweka imara.
Ndiomaana baada ya mchanga, nilitandaza nondo tatu chini ndio tofali zikaanza. Hizo zote hazikua na ulazima ukizingatia mkanda wa baada ya tofali za kulala na wenyewe ulikua wa nondo nne tena una umeshiba.
Sasa unaweza kuona jinsi gani ufujaji ulifanyika. Kitu sijilaumu ni bati za Alaf, hazijapauka rangi.
Ha ha HA Kazi unayoDuh hii hatari mzeya milkion mia hiyo inaondoka....mhm kweli ujenzi sio wa wazinzi
Hapa naamini nikiingia mwenyewe site nipo benet na mafundi m60 nahamia japo chumba cha master jiko na sebule vitakuwa kamili. Vyengine taratibu mkuu sina haraka yoyote muhimu nilishapata sehemu ya kuwagegeda warembo.Ha ha HA Kazi unayo
Hii m100 kweli nakubali ...ila vyumba vingi mzeya vipi babu na bibi wanachumba chao pia?Nakuelewa mkuu,
Niliboreha kidogo hii ramani nikaitumia, around 100m zimekatikaView attachment 2079078
Asante Mkuu kwa Ufafanuzi1.KIWANJA
Hakikisha unachagua kiwanja kizuri in terms of landscape na accessibility! Chaguzi sahihi ya kiwanja upunguza gharama za ujenzi so kuwa makini mwanzo kabsa wakt unanunua kiwanja.
2.RAMANI
Watu wengi upenda kuchukua ramani(copy n paste) na kuanza ujenzi bila ya kufanya uchunguzi wa ramani husika kutokana na uwezo wake au mahitaji yake! Hakikisha kama sio mtaalamu mtafute hata mtaalamu mkae muitafsiri ramani na kujadiliana juu ya ramani zima iendane na mahali unapojenga!
3.KONA
Make sure unapunguza nyumba yako kuwa na kona nyingi zisizo na ulazima kwan kona nyingi uongeza kuta, idadi ya bati na mbao za kenchi, na kufanya gharama za nyumba kupanda.
4.MABADILIKO NJIANI
Hakikisha kbla ya kuanza ujenzi ushajua nyumba yako itakuaje na ukubaliane nayo! Epuka kufanya changes midway(kubadilisha wakati ushaanza)
5. FUNDI
Hakikisha unapata fundi mzuri wa kufanya kazi yako na unapochagua fund factor yako isiwe bei tu, usimpe fundi kaz eti kisa ana bei ndogo go extra mile (kwenye engineering tunaamin kuna mahusiano makubwa kati ya cost n safety hvo vitu ni direct proportional)
Pia jitahidi fundi wako atoke maeneo ya unapofanyia ujenzi kuliko kumtoa mbali
6. KUKODI BADALA YA KUNUNUA
Makes sure baadhi ya vitu ambavyo unaweza kuvpata kwa kukodi unafnya hvyo instead ya kuvinunua mfano Mbao za formwork, mapipa ya maji, formwork za nguzo, sahani kwa ajili ya madirisha, mirunda etc
7.UWEPO SITE MUDA MWINGI
Hata kama ujui abc za ujenzi hakikisha wakat wa ujenzi unatenga muda mwingi wa ww mwnyewe kuwepo site na kuobserve kila kitu kama unaweza kupata hyo nafasi.
8.KUTOJENGA KWA AWAMU NYINGI
Ni kwel ujenzi gharama sana lakni hakikisha ukianza ujenzi usijenge kwa awamu nying sana kama una kipato kidgo bas nunua hata material kwanza then ukianza at least ujenge kwa awamu nne (msingi,boma,kupaua,finishing) kujenga kwa muda mrefu au ile ukipata laki unaita fundi ni gharama zaidi.
9.BAJETI
Hakikisha kabla ujaanza unajua bajeti aghalau ya makadirio ya nyumba yako mpka kukamilika na kama una uwezo huo! So ili ujenzi usikusumbue zaidi hakikisha unajenga nyumba ya kipato chako.
10.LAYOUT
Hapa namaanisha mpangilio wa vyumba, hakikisha unaweka vyumba vinavyofanana sehemu moja, nakupa mfano vyoo (master na public),jiko,dining kwa sababu lazima viwe connected na mfumo wa maji taka ni vzr uviweke kwenye sehemu moja au karbu hi itakupunguzia cost wakat wa plumbing kuliko kuviweka mbali mbali.
Kwa maneno rahis vyumba vyenye tabia za kufanana vikae karibu.
11.MATERIAL
Uchaguzi sahihi wa material za kujengea! Mfano ni vizur kujengea ile kokoto nyeusi ambayo haina vumbi( utumia saruji kidgo zaidi kutengeneza zege zuri kuliko ile kokoto nyekundu), mchanga(ukitaka kujua mchanga mzuri uchukue mkononi then ingiza mkono wako ndani ya ndoo kama mchanga ujaondoka wote kiganjani kwako au aujakuwa tope basi ni mzuri) Maji ya chumvi sio mazuri kujengea etc
So hizo ni baadhi ya tips na wengne naamini watashare tupate kujifunza zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weka ww za kwako zilizo sawa!
Hii kubwa sana duh!Nakuelewa mkuu,
Niliboreha kidogo hii ramani nikaitumia, around 100m zimekatikaView attachment 2079078
Pambana msingi kwa ramani hiyo bila shaka ulikula milioni nne na gharama za ufundi boma andaa milioni sita unasimamisha…Me nimeanza Sept. Nipo msingi napambana January niinue Boma kama hivyo inafanana requirements kama yako
Ni kweli mwanga sio mkubwa sana ikabidi rangi ya ndani iwe light, so sio giza sana!Hii m100 kweli nakubali ...ila vyumba vingi mzeya vipi babu na bibi wanachumba chao pia?
Swali moja mkuu hizo corridor mbona kama zitakuwa na giza sana
Ni kubwa ndiyo, Kuna somo nimejifunza kwa jenzi zinazofuata sitarudia makosa!Hii kubwa sana duh!
Huo mzigo si mchezo!Ni kubwa ndiyo, Kuna somo nimejifunza kwa jenzi zinazofuata sitarudia makosa!
Mkuu hii comment sikuisoma but ume hit kwenye uhalisia nimeanza ujenzi wa boma jumatatu hii ina approach hiyo 6 msingi ulitwanga 4Pambana msingi kwa ramani hiyo bila shaka ulikula milioni nne na gharama za ufundi boma andaa milioni sita unasimamisha…
Kimbembe kinaanza kwenye bati na finishing za ndani wacha kabisa..
Hapa 20m ukiongeza shuguli imeisha mpka mswaki utaukuta bafuni[emoji23]1 master room, 2 bed rooms, Kitchen, dining, sebule, public toilet! Location mbezi dsm nmeanza oktoba 2021 hadi hapo 10m imekata. View attachment 2037971
Ufundi bei gani?1 master room, 2 bed rooms, Kitchen, dining, sebule, public toilet! Location mbezi dsm nmeanza oktoba 2021 hadi hapo 10m imekata. View attachment 2037971
Ufe mkeo ahamie kwa tuliojenga sawa bossHivi unajengaje njiani wakati duniani tunapita..!!
Ebu kula pombe wewe, utafukiaje pesa..??
Ufundi kupaua bei gani?View ya mbele iko namna hiiView attachment 2043510