fundi anapewa kiroba cha unga kilo 25,kifusi unanunua maandazi watoto wanajaza,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]mkikaaa humu kututishiaaaaaa sana nyie watu wa mjini, tukiwaulizia magari mnatutisha,nyumba mnatudanganya hapa m35,mi nimejenga na kagari hata m10 haijafika,we jenga kwa sifa shauri yenu
mi nataka nijenge nyingine kwa m3.5 na bia nakunywa
et m 35 wakati mshahara wa laki 7
Wapi huko na mimi nije kujenga maana nimechoshwa na kero za baba na mama mwenye nyumba wangumkikaaa humu kututishiaaaaaa sana nyie watu wa mjini, tukiwaulizia magari mnatutisha,nyumba mnatudanganya hapa m35,mi nimejenga na kagari hata m10 haijafika,we jenga kwa sifa shauri yenu
mi nataka nijenge nyingine kwa m3.5 na bia nakunywa
et m 35 wakati mshahara wa laki 7
Hapo sawa [emoji848]fundi anapewa kiroba cha unga kilo 25,kifusi unanunua maandazi watoto wanajaza,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Ha ha haaaaaaafundi anapewa kiroba cha unga kilo 25,kifusi unanunua maandazi watoto wanajaza,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
vyumba vingapi mkuu mimi mwenyewe niko kwenye mchakato huowe umenena,mi nimejenga hata m7 haijafika na nikita ka kuhamia nahamiaaa nnitamalizia nikiwa humuhumu
Inawezekana kabisami nimejenga chumba na sebule kila kitu.. basic finishing.. no tiles.. kwa 5m tu... ila kuna uzi humu watu walikuwa wanasema milion 10.. nikakata tamaa..
nilivyokaza roho na kuanza ujenz hadi nimeamia
Samahani mkuu hiyo umeweka na finishing au finishing tunafanya tukiwa ndaniMillion kumi na 15 unajenga nyumba room 3 na sebule
nna mpango wakujenga nyumba ya vyumba viwili kwa standard finishing kwa ajili ya kupangisha ndo maana naomba ufafanuziMillion kumi na 15 unajenga nyumba room 3 na sebule
Wanawake mna mambo sana, wewe ulitakiwa tu uje kuwa mama mwenye nyumba lakini umeamua kuhangaika na mafundi,utajizeesha!Wapi huko na mimi nije kujenga maana nimechoshwa na kero za baba na mama mwenye nyumba wangu
Ukiwa ndani unaweka tilesSamahani mkuu hiyo umeweka na finishing au finishing tunafanya tukiwa ndani
Huwa wanasema hivyo kufariji. Ukianza msingi watakuambia kupandisha rahs mno.Ujenzi ni gharama sana, kuna watu wanasemaga ukishakuwa na kiwanja kujenga ni rahisi lakini bado ni gharama sana kujenga.
[emoji848][emoji848] Naomba unifanye mama mwenye nyumba[emoji6]Wanawake mna mambo sana, wewe ulitakiwa tu uje kuwa mama mwenye nyumba lakini umeamua kuhangaika na mafundi,utajizeesha!
Inategemea na unachojengaGharama ya chini shilingi ngapi?