linyaku
Member
- Mar 13, 2014
- 56
- 26
mkikaaa humu kututishiaaaaaa sana nyie watu wa mjini, tukiwaulizia magari mnatutisha,nyumba mnatudanganya hapa m35,mi nimejenga na kagari hata m10 haijafika,we jenga kwa sifa shauri yenu
mi nataka nijenge nyingine kwa m3.5 na bia nakunywa
et m 35 wakati mshahara wa laki 7
mi nataka nijenge nyingine kwa m3.5 na bia nakunywa
et m 35 wakati mshahara wa laki 7