Waliojenga nyumba hupenda kuwaogopesha wengine kuwa ujenzi ni gharama!

Waliojenga nyumba hupenda kuwaogopesha wengine kuwa ujenzi ni gharama!

UJENZI NI RAHISI..ANAYEFANYA UGUMU BASI AMEAMUA TU..PENGINE KUTUNISHA MISULI..MTOA MADA NADHANI AMELENGA KUONESHA KUWA UNAWEZA JENGA MJENGO MZURI TU KWA GHARAMA NAFUU..NA KWA MATERIAL ZINAZOVUTIA.KIWANJA HATA CHA 12X12 MTU UNATOA KITU CHA MAANA.HUHITAJI HEKALU AMBALO BUIBUI WATAKUWA WANAISHI.OPTIMIZE YOU SPACE..CUSTOMIZE YOUR NEEDS.NI UJINGA KUJENGA NYUMBA YA 150M FOR 10 YEARS..(THATS NOT AN ASSET..ITS LIABILITY)..SAME SAME MONEY A BUSINESS MAN WITHIN TEN YEARS COULD MAKE BIG CASHFLOW OUT OF IT.KAMA NYUMBA YA KUISHI USIUMIZE KICHWA JENGA SIMPLE TU BUT CLASSIC.
 
Labda kama kila mtu ana kipato kama wewe.

Sina kipato chochote cha maana, nilikuwa natishwa na maneno ya watu.

Cha msingi usipige mahesabu sana , we fanya kwa uwezo wako na mafundi wa kawaida.
 
Jamani wale mliopanga usibamize mlango wa MTU. Jana nimeshindwa kufanikisha azma ya kusafirisha milango yangu ya mjinga kutoka Tabora futari haikua tamu jana . Heshima kwa mababa wote wenye nyumba mjini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni ghalama ndiyo tena kubwa tu, lakini kama umedhamilia kwa dhati lazima ufaulu kujenga kwani wote wanaojenga ni mabillionare?? Halafu ukiona mtu anakwambia eti kujenga ni ghalama kwa style ya kukukatisha tamaa ujue hajielewi huyo
 
MILIONI 20 KUNA MIKOA MINGNE UNAJENGA JUMBA LA MAANA,ILA USIMAMIE MWENYEWE,UKIJENGA KIBOSS NYUMBA YA M 20 UNAAMBIWA M 80

Ndiyo maana tunasema gharama za ujenzi zinadepend na eneo ulipo,ukubwa wa nyumba,aina ya nyumba,aina za materials unazotumia,gharama za kuwalipa mafundi wa kueleweka na sio wa kuungaunga,..so mtu akinambia kajenga nyumba yke kwa mil 200 siwezi shangaa kama ametumia quality materials na ni mjengo wa maana..tusiforce watu wafanane..kila mtu anakula urefu wa kamba yake.
 
UJENZI NI RAHISI...OPTIMIZE YOU SPACE..CUSTOMIZE YOUR NEEDS.NI UJINGA KUJENGA NYUMBA YA 150M FOR 10 YEARS..(THATS NOT AN ASSET..ITS LIABILITY)..SAME SAME MONEY A BUSINESS MAN WITHIN TEN YEARS COULD MAKE BIG CASHFLOW OUT OF IT.KAMA NYUMBA YA KUISHI USIUMIZE KICHWA JENGA SIMPLE TU BUT CLASSIC.
You are a genius!
 
Tatizo vijana wanapiga pesa za fastafasta alafu hapo hapo wanataka kununua kiwanja na kujenga, kwanini usione ujenzi ni ghali?

Ukipata hela yako tulia kama huna kitu then tafuta taarifa sahihi kwa unachotaka kukijenga, onana na mafundi wa kila aina yaani wale wa mtaani na wale waliokwenda shule, usiache kuwasikiliza watu ambao wameshajenga pia.

Zunguka kujua bei za material na bei zake, pia usiache kutafuta mbadala wa material kwa mfano badala ya kuweka matofali kwenye msingi uweke mawe kutokana na urahisi/upatikanaji wake.

Usishindane na wenzako ambao wameshajenga, kuwa mvumilivu, jenga kwa hatua, usijidai boss!

Usisahau kubariki eneo lako la ujenzi kabla maana sehemu nyingine ni makao ya Ibilisi au yamezindikwa huwezi kujua.

Mtangulize Mungu.
 
UJENZI NI RAHISI..ANAYEFANYA UGUMU BASI AMEAMUA TU..PENGINE KUTUNISHA MISULI..MTOA MADA NADHANI AMELENGA KUONESHA KUWA UNAWEZA JENGA MJENGO MZURI TU KWA GHARAMA NAFUU..NA KWA MATERIAL ZINAZOVUTIA.KIWANJA HATA CHA 12X12 MTU UNATOA KITU CHA MAANA.HUHITAJI HEKALU AMBALO BUIBUI WATAKUWA WANAISHI.OPTIMIZE YOU SPACE..CUSTOMIZE YOUR NEEDS.NI UJINGA KUJENGA NYUMBA YA 150M FOR 10 YEARS..(THATS NOT AN ASSET..ITS LIABILITY)..SAME SAME MONEY A BUSINESS MAN WITHIN TEN YEARS COULD MAKE BIG CASHFLOW OUT OF IT.KAMA NYUMBA YA KUISHI USIUMIZE KICHWA JENGA SIMPLE TU BUT CLASSIC.

Hapo sasa unakuwa unaforce mtu afanane na mawazo yako..kila mtu huchagua akipendacho..mwingine yupo radhi ajenge hiyo ya 150ml for 10 yrs ndiyo..si kapenda yy kushusha hekalu!??Mwingine anaona ni ujinga kujenga kibanda kwenye kiwanja cha 12x12 kama ww umuonavyo mjinga anayejenga nyumba ya 150ml kwa miaka 10.Watu wanatofautiana
 
Aisee ni kwel tena utasikia yaan gharama ya hii nyumba yaan ni fedha nying sana sijui ni sh ngap
 
Hapo sasa unakuwa unaforce mtu afanane na mawazo yako..kila mtu huchagua akipendacho..mwingine yupo radhi ajenge hiyo ya 150ml for 10 yrs ndiyo..si kapenda yy kushusha hekalu!??Mwingine anaona ni ujinga kujenga kibanda kwenye kiwanja cha 12x12 kama ww umuonavyo mjinga anayejenga nyumba ya 150ml kwa miaka 10.Watu wanatofautiana
MKUU IELEWEKE SILAZIMISHI WATU WOTE TUISHI SAWA..ILA LENGO NI KUTOKATISHA WATU TAMAA KWA UJENZI ULIOUCHAGUA WEWE KWAKUWA NI MZIGO MZITO BASI IKAFANYA WENGINE WAONE NI MZIGO.KUNA NJIA MBADALA NYINGI ZA KUMILIKI MJENGO MZURI.HALAFU KUBALI UKATAE WABONGO WENGI HATUNA MAARIFA YA UCHUMI..NYUMBA WENGI WANAFIKIRI NI ASSET..KAMA NYUMBA YA KWANZA NI YA MALAZI TU..HAINA HAJA YAKUTUMIA GHARAMA NYINGI HALAFU UNAISHIA KULALAMIKIA JAMII..UJENZI GHALI SANA SINA PESA.WEKEZA KWANZA KWAKUJENGA BILA PRESHA,UNAKULA MBOGA TANO KAMA KAWAIDA.
 
Nimekusoma mkuu hapo sasa kikubwa nilichokiona ni kila mtu ajenge kutokana na uwezo wake na si kulalamika kuwa ujenzi si gharama au ujenzi ni gharama.
 
NINA RAMANI NYINGI SANA ZA NYUMBA NDOGO NDOGO ZA KISASA..AMBAZO KIJANA AMBAYE HAJAOA ANAWEZA MILIKI MJENGO WA WASTANI..NA HATA MTU ALIYEOA MWENYE FAMILIA NDOGO ANAWEZA MILIKI..NA WALA HUITAJI KIWANJA KIKUBWA..JENGA NYUMBA AMBAYO UKITAKA KUPANGISHA JAMII ILIYOSTAARABIKA INAKUWA RAHISI AU UKITAKA KUUZA INAUZIKA..SASA KUNA WATU HUWA WANAJIJENGEA MIJENGO ISIYO NA RAMANI DECENT..HALAFU ANASHINDWA MALIZIA ANATANGAZA KUUZA NYUMBA PESA YA JUU..MNUNUZI AKIJA ANAONA RAMANI SIO KABSA..NI SAWA TU ANANUNUA KIWANJA.I WILL SHARE WITH ANYONE INTERESTED..NOT FOR SALE.DESIGN YOUR LIFESTYLE...CREATE YOUR DREAM SHELTER.
 
Mie ndo kwanza nimenunua kiwanja mwaka huu na nataka nianze kujenga mwakani. Lakini kama hali ndo hii ya kutishana hivi,nimeanza kulegea misuli. Sijui niuze hiki kiwanja? Maana hapa jasho lanitoka.
 
Sijui huwa inakuwaje. Kuna watu wengi wamejenga, wengi hawana biashara yoyote, sanasana wanategemea mishahara. Zaidi watakopa kama mil 10 - 30 kutoka bank ili ziwasaidie kujenga ambazo huzirudisha taratibu kwa njia ya mshahara. Wengi niseme wametumia average ya miaka 2 kumalizia ujenzi. Mara tu wakimaliza kujenga, ukiwauliza gharama waliyotumia wanakuambia kitu kama around mil 100, 250 hadi 500. Sasa mara nyingi naona uongo kwa sababu ukijumlisha mishahara yao na hela walizokopa kipindi hicho kwa ajili ya kujengea, na ukaongeza na hela nyingine labda tuseme ya dili, huwa haifikii hiyo gharama.
 
Back
Top Bottom