Waliokunywa ‘Kikombe cha Babu wa Loliondo’ asilimia kubwa wamefariki dunia?

Waliokunywa ‘Kikombe cha Babu wa Loliondo’ asilimia kubwa wamefariki dunia?

Chifu mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2025
Posts
857
Reaction score
926
Habari za muda huu wadau.

Kuna habari nimeona mitandaoni ikanifikirisha kidogo nikaona niilete jukwaani tupate mitazamo ya wengine.

Ni kwamba Inasemekana ya kwamba watu wote waliokunywa kikombe cha dawa kwa babu wa Loliondo wote kwa sasa wamefariki dunia ikiwa pamoja na babu mwenyewe!

Mimi kwa upande wangu watu ninaokumbuka kuwa walikunywa kikombe hicho na ambao wote wamefariki dunia ni
1️⃣ Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam marehemu Abbaas Kandoro.

2️⃣ Mwanasiasa wa upinzanzani Augustine Mrema na babu mwenyewe

3️⃣ Ambilikile Mwasapila.

4️⃣ Kuna mwanasiasa mwingine kule mkoani Geita wilaya fulani hivi ila naogopa kumtaja na WOTE HAO HATUNAO TENA.

Je wewe unamjua mtu aliyekunywa kikombe cha babu ambaye hajazikwa hadi sasa?
 
Attachments

  • img_1_1776513437306.jpg
    img_1_1776513437306.jpg
    120 KB · Views: 26
  • proxy.php.jpg
    proxy.php.jpg
    58.5 KB · Views: 25
Wote walioenda kunywa walikuwa na matatizo yao, hasa magonjwa, life expectancy yao pia ilishakuwa chini kidogo kutokana na masahibu ya maradhi, hivyo ni dhahiri kuwa wengi wametangulia mbele za haki. Hiyo ni Obvious, wala siyo kikombe cha babu kimechangia kuwaua.
 
    58.5 KB · Views: 23
Kumbe na Babu mwenyewe alishadedi.
Dah R.I.P Babu, ukiweza kututumia vizuri sisi wabongo kupata hela. 😁
 
Hii habari ni ya mwaka gani, au kuna files nazichanganya?

Wengi walioenda huko ni wale kifo mguu ndani mguu nje, unategemea iweje?

Pia yule mzee alipata umaarufu wa bure tuu mana Wabongo kama kawaida kupenda upumbavu wala hakuwa na dawa ya kutibu ugonjwa wowote ule.
 
Back
Top Bottom