Waliokunywa ‘Kikombe cha Babu wa Loliondo’ asilimia kubwa wamefariki dunia?

Waliokunywa ‘Kikombe cha Babu wa Loliondo’ asilimia kubwa wamefariki dunia?

Habari za muda huu wadau.

Kuna habari nimeona mitandaoni ikanifikirisha kidogo nikaona niilete jukwaani tupate mitazamo ya wengine.

Ni kwamba Inasemekana ya kwamba watu wote waliokunywa kikombe cha dawa kwa babu wa Loliondo wote kwa sasa wamefariki dunia ikiwa pamoja na babu mwenyewe!

Mimi kwa upande wangu watu ninaokumbuka kuwa walikunywa kikombe hicho na ambao wote wamefariki dunia ni
1️⃣ Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam marehemu Abbaas Kandoro.

2️⃣ Mwanasiasa wa upinzanzani Augustine Mrema na babu mwenyewe

3️⃣ Ambilikile Mwasapila.

4️⃣ Kuna mwanasiasa mwingine kule mkoani Geita wilaya fulani hivi ila naogopa kumtaja na WOTE HAO HATUNAO TENA.

Je wewe unamjua mtu aliyekunywa kikombe cha babu ambaye hajazikwa hadi sasa?
Sio hao tuu na walebwalochombsindanobya kuzuia korona nao kipindi hiki wanapasuka sana mara damu imeganda mara mapafu yameshindwa kufanya kazi
 
Wote walioenda kunywa walikuwa na matatizo yao, hasa magonjwa, life expectancy yao pia ilishakuwa chini kidogo kutokana na masahibu ya maradhi, hivyo ni dhahiri kuwa wengi wametangulia mbele za haki. Hiyo ni Obvious, wala siyo kikombe cha babu kimechangia kuwaua.

Babu mwenyewe kapotelea wapi ?? au naye ameenda kuwapokea kuzimu ??
 
Back
Top Bottom