Chifu mkuu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2025
- 857
- 926
Wote walioenda kunywa walikuwa na matatizo yao, hasa magonjwa, life expectancy yao pia ilishakuwa chini kidogo kutokana na masahibu ya maradhi, hivyo ni dhahiri kuwa wengi wametangulia mbele za haki. Hiyo ni Obvious, wala siyo kikombe cha babu kimechangia kuwaua.
💯Sasa watu wagonjwa halafu wazee ulitegemea wangebaki hai?
Je, miaka mingapi imepita mpk sasa?
💯Sasa watu wagonjwa halafu wazee ulitegemea wangebaki hai?
Je, miaka mingapi imepita mpk sasa?
Ikitengenezwa orodha ya matepeli bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania yule mzee lazima aingie top 5Kumbe na Babu mwenyewe alishadedi.
Dah R.I.P Babu, ukiweza kututumia vizuri sisi wabongo kupata hela. 😁
Aliwatapeli hadi watu wenye PhD na vyeo vikubwa serikalini!Ikitengenezwa orodha ya matepeli bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania yule mzee lazima aingie top 5
Ikitengenezwa orodha ya matepeli bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania yule mzee lazima aingie top 5
Ukiwa mgonjwa utafanya chochote ili uponeAliwatapeli hadi watu wenye PhD na vyeo vikubwa serikalini!