Zaidi ya miaka 10 wategemeani???Habari za muda huu wadau.
Kuna habari nimeona mitandaoni ikanifikirisha kidogo nikaona niilete jukwaani tupate mitazamo ya wengine.
Ni kwamba Inasemekana ya kwamba watu wote waliokunywa kikombe cha dawa kwa babu wa Loliondo wote kwa sasa wamefariki dunia ikiwa pamoja na babu mwenyewe!
Mimi kwa upande wangu watu ninaokumbuka kuwa walikunywa kikombe hicho na ambao wote wamefariki dunia ni
1️⃣ Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam marehemu Abbaas Kandoro.
2️⃣ Mwanasiasa wa upinzanzani Augustine Mrema na babu mwenyewe
3️⃣ Ambilikile Mwasapila.
4️⃣ Kuna mwanasiasa mwingine kule mkoani Geita wilaya fulani hivi ila naogopa kumtaja na WOTE HAO HATUNAO TENA.
Je wewe unamjua mtu aliyekunywa kikombe cha babu ambaye hajazikwa hadi sasa?
Correlation doesn’t imply causation!Habari za muda huu wadau.

Hata walioenda kutibiwa muhimbili enzi hizo wengi wamekufa. Watu walienda kwasababu walikuwa wanaumwa.Habari za muda huu wadau.
Kuna habari nimeona mitandaoni ikanifikirisha kidogo nikaona niilete jukwaani tupate mitazamo ya wengine.
Ni kwamba Inasemekana ya kwamba watu wote waliokunywa kikombe cha dawa kwa babu wa Loliondo wote kwa sasa wamefariki dunia ikiwa pamoja na babu mwenyewe!
Mimi kwa upande wangu watu ninaokumbuka kuwa walikunywa kikombe hicho na ambao wote wamefariki dunia ni
1️⃣ Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam marehemu Abbaas Kandoro.
2️⃣ Mwanasiasa wa upinzanzani Augustine Mrema na babu mwenyewe
3️⃣ Ambilikile Mwasapila.
4️⃣ Kuna mwanasiasa mwingine kule mkoani Geita wilaya fulani hivi ila naogopa kumtaja na WOTE HAO HATUNAO TENA.
Je wewe unamjua mtu aliyekunywa kikombe cha babu ambaye hajazikwa hadi sasa?
Tofauti.Ile ilikuwa ni uongo kama uongo wa kuibiwa nyeti tu.
Hajaenda Loliondo kwa babu. Yule mzee Hana tatizo la afya labda kuumwa mafua mara mojamoja.mzee wassirra bado yupo hai lakini
hatukusema woteMbona baadhi yetu bado tupo mkuu
Hakika kabisa.Mmeenda kumpa mtu aliyekunywa kikombe cha Babu wa Loliondo nchi.
But then again haina tofauti na kuamini Mungu.
In fact bora kumuamini Babu wa Loliondo kuliko kumuamini Mungu.
Habari za muda huu wadau.