Msibani kuna wakati yule anayefarijiwa baadhi ya maneno ya faraja anayaona kero kwake kwasababu yeye ndiye anayejua kiwango cha machungu anayoyapitia. Kuna wakati wafariji wanafariji kupitiliza na kuna wakati wanafariji chini ya kiwangoAsante CDF mstaafu kwa kudhibiti nia ovu za hao bandits na terrorist wa kisiasa ambao sasa wanajiexpose wenyewe moja moja tena wakiwa hidden places. Na bado.....
Well done our security forces, well done CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan. Ndugu Rais, tafadhali sana shikilia hapo hapo mpaka wajitokeze wote na waseme yote, maana wameanza kuweweseka na kutapatapa wasijue.
Hongera sana Dr Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia imara kwenye nafasi yako, hao bandits walipanga kuja kuvuruga mchakato wa kumpata mgombea uraisi wa CCM kwa kumchomeka mgombea uraisi wao, na wewe kupitia mkutano mkuu taifa mkwapiga chenga la mwili na kuwapoteza maboya kabisa. Hawatardia tena hiyo mipango yao nonsense [emoji205]
Mungu Ibariki Tanzania
Kuna mhuni mwenzako alipewa maiki siku ya uzinduzi wa dira nikamuangaliaaa nikasema hakika wahuni wametamalakikua bandits kwenye siasa ni jambo la hovyo mno gentleman π
kuna hoja pale au mihemko na makasiriko ya changa la macho,Zile hoja vipi..? Hakuna anayejitokeza kuzijibu kwa hoja zenye nguvu zaidi.?
Na hiki kitu kinawakera sana,wanataka kurudi kwa njia za mlango wa nyuma na watashindwa tuAsante CDF mstaafu kwa kudhibiti nia ovu za hao bandits na terrorist wa kisiasa ambao sasa wanajiexpose wenyewe moja moja tena wakiwa hidden places. Na bado.....
Well done our security forces, well done CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan. Ndugu Rais, tafadhali sana shikilia hapo hapo mpaka wajitokeze wote na waseme yote, maana wameanza kuweweseka na kutapatapa wasijue.
Hongera sana Dr Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia imara kwenye nafasi yako, hao bandits walipanga kuja kuvuruga mchakato wa kumpata mgombea uraisi wa CCM kwa kumchomeka mgombea uraisi wao, na wewe kupitia mkutano mkuu taifa mkwapiga chenga la mwili na kuwapoteza maboya kabisa. Hawatardia tena hiyo mipango yao nonsense π
Mungu Ibariki Tanzania
Safi sana,naunga mkono hoja yakoAsante CDF mstaafu kwa kudhibiti nia ovu za hao bandits na terrorist wa kisiasa ambao sasa wanajiexpose wenyewe moja moja tena wakiwa hidden places. Na bado.....
Well done our security forces, well done CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan. Ndugu Rais, tafadhali sana shikilia hapo hapo mpaka wajitokeze wote na waseme yote, maana wameanza kuweweseka na kutapatapa wasijue.
Hongera sana Dr Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia imara kwenye nafasi yako, hao bandits walipanga kuja kuvuruga mchakato wa kumpata mgombea uraisi wa CCM kwa kumchomeka mgombea uraisi wao, na wewe kupitia mkutano mkuu taifa mkwapiga chenga la mwili na kuwapoteza maboya kabisa. Hawatardia tena hiyo mipango yao nonsense π
Mungu Ibariki Tanzania
Huu ndio ukwelikuna hoja pale au mihemko na makasiriko ya changa la macho,
kwanza,
kwa kushindwa kunajisi katiba ya nchi kutaka mtu mwingine aapishwe kua Rais na sio Makamu wa Rais kulingana na katiba,
Pili,
mipango ovu ya kuvuruga utaratibu wa kumpata mgombea uraisi wa CCM kukwama. Bandits wa kisiasa ni watu nonsense sasa. Ona sasa wanategemea public sympathy na public imegoma kubebwa ufala π
watatajana wote wakiwa mafichoni π
NyumbuCCM wengi wenu mmeokotezwa huko ili muwe walamba miguu ya watawala
We endelea kulamba lamba
Mabeho katuletea hii takataka inayotamani Kila saa kunywa damu ya Mtanganyika asiye na hatiaAsante CDF mstaafu kwa kudhibiti nia ovu za hao bandits na terrorist wa kisiasa ambao sasa wanajiexpose wenyewe moja moja tena wakiwa hidden places. Na bado.....
Well done our security forces, well done CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan. Ndugu Rais, tafadhali sana shikilia hapo hapo mpaka wajitokeze wote na waseme yote, maana wameanza kuweweseka na kutapatapa wasijue.
Hongera sana Dr Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia imara kwenye nafasi yako, hao bandits walipanga kuja kuvuruga mchakato wa kumpata mgombea uraisi wa CCM kwa kumchomeka mgombea uraisi wao, na wewe kupitia mkutano mkuu taifa mkwapiga chenga la mwili na kuwapoteza maboya kabisa. Hawatardia tena hiyo mipango yao nonsense π
Mungu Ibariki Tanzania
Chawa macho yamewatoka ,bibi yenu hoi baada ya october 2025 mtatembelea kuchaπ€£π€£π€£Gentleman,
kwamba hako ka polical bandits ndio threat ndani na nje ya nchi au? π€£
Kwa ilivyo bora hata wangefanikiwa wenda tungekua na hali tofautiAsante CDF mstaafu kwa kudhibiti nia ovu za hao bandits na terrorist wa kisiasa ambao sasa wanajiexpose wenyewe moja moja tena wakiwa hidden places. Na bado.....
Well done our security forces, well done CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan. Ndugu Rais, tafadhali sana shikilia hapo hapo mpaka wajitokeze wote na waseme yote, maana wameanza kuweweseka na kutapatapa wasijue.
Hongera sana Dr Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia imara kwenye nafasi yako, hao bandits walipanga kuja kuvuruga mchakato wa kumpata mgombea uraisi wa CCM kwa kumchomeka mgombea uraisi wao, na wewe kupitia mkutano mkuu taifa mkwapiga chenga la mwili na kuwapoteza maboya kabisa. Hawatardia tena hiyo mipango yao nonsense π
Mungu Ibariki Tanzania
halafu hako ka polical bandits kalipaswa kueleza vyema kuhusu hilo but huenda kanahusika kumueliminate ili wamuweke waliomuumdaa, ndio maana walitaka aapishwe mwingine sio yule alietajwa na katiba πWaliomuua mzalendo wetu wanang'ang'ania madarakani
Umewahi kufika Ngorongoro au badoNyumbu