Waliokusudia kuinajisi Katiba ili Samia asiapishwe kuwa Rais waanza kujitokeza

Asante CDF mstaafu kwa kudhibiti nia ovu za hao bandits na terrorist wa kisiasa ambao sasa wanajiexpose wenyewe moja moja tena wakiwa hidden places. Na bado.....

Well done our security forces, well done CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan. Ndugu Rais, tafadhali sana shikilia hapo hapo mpaka wajitokeze wote na waseme yote, maana wameanza kuweweseka na kutapatapa wasijue hata wanaongea na nani.

Hongera sana Dr Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia imara kwenye nafasi yako, hao bandits walipanga kuja kuvuruga mchakato wa kumpata mgombea uraisi wa CCM kwa kumchomeka mgombea uraisi wao, na wewe kupitia mkutano mkuu taifa mkwapiga chenga la mwili na kuwapoteza maboya kabisa. Hawatardia tena hiyo mipango yao nonsense 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Ccm imevunja katiba yake kwa maslah ya watu wachache, wanakuja wakulungwa kunyoosha palipo pinda,kaa kwa kutulia tuone minyukano!

No Reform,no election!
 
Vipi nasikia mumehairisha vikao
 
Ccm imevunja katiba yake kwa maslah ya watu wachache, wanakuja wakulungwa kunyoosha palipo pinda,kaa kwa kutulia tuone minyukano!

No Reform,no election!
ili tukufurahishe wewe na hako kabandits kanafiki ka kisiasa sio gentleman?

no reform no elections wananchi si waneshasema ni useless na completely nonsense? bado umeshupaza shingo na kung'ang'ana nayo tu gentleman 🤣
 
Asante CDF mstaafu kwa kudhibiti nia ovu za hao bandits na terrorist wa kisiasa ambao sasa wanajiexpose wenyewe moja moja tena wakiwa hidden places. Na bado.....

Well done our security forces, well done CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan. Ndugu Rais, tafadhali sana shikilia hapo hapo mpaka wajitokeze wote na waseme yote, maana wameanza kuweweseka na kutapatapa wasijue hata wanaongea na nani.

Hongera sana Dr Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia imara kwenye nafasi yako, hao bandits walipanga kuja kuvuruga mchakato wa kumpata mgombea uraisi wa CCM kwa kumchomeka mgombea uraisi wao, na wewe kupitia mkutano mkuu taifa mkwapiga chenga la mwili na kuwapoteza maboya kabisa. Hawatardia tena hiyo mipango yao nonsense 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hii habari mbona ina niacha kwani uchaguzi tayari?Ama kumbukumbu zangu zinanikumbusha miaka kadhaa iliyopita enzi za kabla ya uzee wenye changamoto nyingi?
 
ni vizuri kua wastahimilivu, CPA Amos Makala hauwezi kuchelewa kuweka sawa jambo hili in public gentleman 🐒
GM kwani wewe haumo kwenye lile kundi letu la kitaifa la watu wenye mamlaka?
 
Hii habari mbona ina niacha kwani uchaguzi tayari?Ama kumbukumbu zangu zinanikumbusha miaka kadhaa iliyopita enzi za kabla ya uzee wenye changamoto nyingi?
umefikiwa sasa,
dira ya taifa 2050 maisha mazuri na ya furaha🐒
 
Dira haiwezi kuwa sababu ya kusimamisha mengine hata Slow slow aliipisha ili msipate ulinganisho,na uzuri aliwahi kuanzisha darasa kuwafunzeni,ila mlimbeza,mlinyanyasa,mlimtisha.Je tuseme sasa mnaitamani elimu yake tena ya bure au?
 
Asante CDF mstaafu kwa kudhibiti nia ovu za hao bandits na terrorist wa kisiasa ambao sasa wanajiexpose wenyewe moja moja tena wakiwa hidden places. Na bado.....

Well done our security forces, well done CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan. Ndugu Rais, tafadhali sana shikilia hapo hapo mpaka wajitokeze wote na waseme yote, maana wameanza kuweweseka na kutapatapa wasijue hata wanaongea na nani.

Hongera sana Dr Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia imara kwenye nafasi yako, hao bandits walipanga kuja kuvuruga mchakato wa kumpata mgombea uraisi wa CCM kwa kumchomeka mgombea uraisi wao, na wewe kupitia mkutano mkuu taifa mkwapiga chenga la mwili na kuwapoteza maboya kabisa. Hawatardia tena hiyo mipango yao nonsense 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Aisee, kwani wewe 🚮🚮🚮unaishi dunia ipi???😂
 
Back
Top Bottom