Waliokusudia kuinajisi Katiba ili Samia asiapishwe kuwa Rais waanza kujitokeza

Waliokusudia kuinajisi Katiba ili Samia asiapishwe kuwa Rais waanza kujitokeza

Kuna mhuni mwenzako alipewa maiki siku ya uzinduzi wa dira nikamuangaliaaa nikasema hakika wahuni wametamalaki
ila gentleman,
hako ka political bandits kamewahadaa sana kumbe kamejiandaa na nonsense tupu 🤣
 
Asante CDF mstaafu kwa kudhibiti nia ovu za hao bandits na terrorist wa kisiasa ambao sasa wanajiexpose wenyewe moja moja tena wakiwa hidden places. Na bado.....

Well done our security forces, well done CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan. Ndugu Rais, tafadhali sana shikilia hapo hapo mpaka wajitokeze wote na waseme yote, maana wameanza kuweweseka na kutapatapa wasijue.

Hongera sana Dr Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia imara kwenye nafasi yako, hao bandits walipanga kuja kuvuruga mchakato wa kumpata mgombea uraisi wa CCM kwa kumchomeka mgombea uraisi wao, na wewe kupitia mkutano mkuu taifa mkwapiga chenga la mwili na kuwapoteza maboya kabisa. Hawatardia tena hiyo mipango yao nonsense 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hii ndio shida ya uchawa
 
kuna hoja pale au mihemko na makasiriko ya changa la macho,

kwanza,
kwa kushindwa kunajisi katiba ya nchi kutaka mtu mwingine aapishwe kua Rais na sio Makamu wa Rais kulingana na katiba,

Pili,
mipango ovu ya kuvuruga utaratibu wa kumpata mgombea uraisi wa CCM kukwama. Bandits wa kisiasa ni watu nonsense sasa. Ona sasa wanategemea public sympathy na public imegoma kubebwa ufala 🐒

watatajana wote wakiwa mafichoni 🐒

Chamani kuna mihuni..ndo hoja.!

Hoja ya Uhuni uliofanywa na Jeikei mkutanoni....haujajibiwa
 
Chamani kuna mihuni..ndo hoja.!

Hoja ya Uhuni uliofanywa na Jeikei mkutanoni....haujajibiwa
surely,
kabisaa mtu na heshima zako unaweza kupoteza muda kujibi nonsense za political bandits gentleman?,

acha mzaaha basi gentleman 🤣
 
Mabeho katuletea hii takataka inayotamani Kila saa kunywa damu ya Mtanganyika asiye na hatia

IMG-20250719-WA0021.jpg
 
Hahahaha hiyo si uhaini au...wapelekwe lupango mbaroni korokoroni. Mtoeni mnyampaa mnamuonea
 
Uchaguzi huu kwa MFUMO huu hata SAMIA akijipigia kula mwenyewe TU inatosha KULIPA ushindi
 
Hawa mbona wote wanatembea,wameinamia chini?
Hawa mbona wote wanatembea,wameinamia chini?
kuna kenge na bandits wawili wameshika njia yao miongoni mwa wengi.

mojawapo ndio hako kagaidi ka kisiasa kalikokua kanaweweseka na kutapatapa jana kasijue pakushika wala haijulikani kalikua kanamueleza nani hasira na makasiriko yake 🐒
 
Jentoman naomba uthibitishe kwamba taarifa za kuahirisha vikao vya mchujo wenu ninyi wagombea ni za kweli?
ni muhimu zaidi kua wastahimilivu na wenye subra katika hili, na muhimu zaidi ni kuzingatia vyanzo vya habari.

Taarifa zote kuhusu mambo ya CCM kitaifa hutolewa na ofisi ya katibu mkuu taifa na taarifa zote za vikao vya kitaifa na matokeo ya vikao vya CCM taifa hutolewa na muenezi wa chama taifa CPA Amos Makala.

kinyume na hapo ni upotoshaji gentleman. Tuishi humo gentleman 🐒
 
Uchaguzi huu kwa MFUMO huu hata SAMIA akijipigia kula mwenyewe TU inatosha KULIPA ushindi
Uchaguzi mkuu wa Tanzania ni kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na si vinginevyo gentleman 🐒
 
Hahahaha hiyo si uhaini au...wapelekwe lupango mbaroni korokoroni. Mtoeni mnyampaa mnamuonea
Kabandits ka siasa kanafiki kama hako, hata ukikatazama tu kanafaa kuwekwa korokoroni kweli gentleman?🐒
 
ni muhimu zaidi kua wastahimilivu na wenye subra katika hili, na muhimu zaidi ni kuzingatia vyanzo vya habari.

Taarifa zote kuhusu mambo ya CCM kitaifa hutolewa na ofisi ya katibu mkuu taifa na taarifa zote za vikao vya kitaifa na matokeo ya vikao vya CCM taifa hutolewa na muenezi wa chama taifa CPA Amos Makala.

kinyume na hapo ni upotoshaji gentleman. Tuishi humo gentleman 🐒
So ni fake? Nataka kujua hilo tu
 
Asante CDF mstaafu kwa kudhibiti nia ovu za hao bandits na terrorist wa kisiasa ambao sasa wanajiexpose wenyewe moja moja tena wakiwa hidden places. Na bado.....

Well done our security forces, well done CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan. Ndugu Rais, tafadhali sana shikilia hapo hapo mpaka wajitokeze wote na waseme yote, maana wameanza kuweweseka na kutapatapa wasijue hata wanaongea na nani.

Hongera sana Dr Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia imara kwenye nafasi yako, hao bandits walipanga kuja kuvuruga mchakato wa kumpata mgombea uraisi wa CCM kwa kumchomeka mgombea uraisi wao, na wewe kupitia mkutano mkuu taifa mkwapiga chenga la mwili na kuwapoteza maboya kabisa. Hawatardia tena hiyo mipango yao nonsense 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Andishi pumba tupu
 
Back
Top Bottom