Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,816
- 9,308
Hivi CCM ikimtoa huyo mnayemwita mama wewe na Luka mtakuja Kwa style gani?
Inabidi utoe ubongo sio Kwa Akili hai!Kazi ya uchawa ni ngumu Sana
Sm mnamambo sana, kumbe wakitaka kumuweka sm mwingine!Ndio maana tunasema no reforms no election,muwe mnaelewa na kujitafakari!halafu hako ka polical bandits kalipaswa kueleza vyema kuhusu hilo but huenda kanahusika kumueliminate ili wamuweke waliomuumdaa, ndio maana walitaka aapishwe mwingine sio yule alietajwa na katiba 🐒
Unamsifu mtu mmoja mjinga.pole sana.Asante CDF mstaafu kwa kudhibiti nia ovu za hao bandits na terrorist wa kisiasa ambao sasa wanajiexpose wenyewe moja moja tena wakiwa hidden places. Na bado.....
Well done our security forces, well done CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan. Ndugu Rais, tafadhali sana shikilia hapo hapo mpaka wajitokeze wote na waseme yote, maana wameanza kuweweseka na kutapatapa wasijue hata wanaongea na nani.
Hongera sana Dr Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia imara kwenye nafasi yako, hao bandits walipanga kuja kuvuruga mchakato wa kumpata mgombea uraisi wa CCM kwa kumchomeka mgombea uraisi wao, na wewe kupitia mkutano mkuu taifa mkwapiga chenga la mwili na kuwapoteza maboya kabisa. Hawatardia tena hiyo mipango yao nonsense 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Gentle man take a tranquilizer and relax you are overheatingAsante CDF mstaafu kwa kudhibiti nia ovu za hao bandits na terrorist wa kisiasa ambao sasa wanajiexpose wenyewe moja moja tena wakiwa hidden places. Na bado.....
Well done our security forces, well done CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan. Ndugu Rais, tafadhali sana shikilia hapo hapo mpaka wajitokeze wote na waseme yote, maana wameanza kuweweseka na kutapatapa wasijue hata wanaongea na nani.
Hongera sana Dr Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia imara kwenye nafasi yako, hao bandits walipanga kuja kuvuruga mchakato wa kumpata mgombea uraisi wa CCM kwa kumchomeka mgombea uraisi wao, na wewe kupitia mkutano mkuu taifa mkwapiga chenga la mwili na kuwapoteza maboya kabisa. Hawatardia tena hiyo mipango yao nonsense 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Asante CDF mstaafu kwa kudhibiti nia ovu za hao bandits na terrorist wa kisiasa ambao sasa wanajiexpose wenyewe moja moja tena wakiwa hidden places. Na bado.....