Waliokusudia kuinajisi Katiba ili Samia asiapishwe kuwa Rais waanza kujitokeza

Kuna mhuni mwenzako alipewa maiki siku ya uzinduzi wa dira nikamuangaliaaa nikasema hakika wahuni wametamalaki
ila gentleman,
hako ka political bandits kamewahadaa sana kumbe kamejiandaa na nonsense tupu 🀣
 
Hii ndio shida ya uchawa
 

Chamani kuna mihuni..ndo hoja.!

Hoja ya Uhuni uliofanywa na Jeikei mkutanoni....haujajibiwa
 
Chamani kuna mihuni..ndo hoja.!

Hoja ya Uhuni uliofanywa na Jeikei mkutanoni....haujajibiwa
surely,
kabisaa mtu na heshima zako unaweza kupoteza muda kujibi nonsense za political bandits gentleman?,

acha mzaaha basi gentleman 🀣
 
Hahahaha hiyo si uhaini au...wapelekwe lupango mbaroni korokoroni. Mtoeni mnyampaa mnamuonea
 
Uchaguzi huu kwa MFUMO huu hata SAMIA akijipigia kula mwenyewe TU inatosha KULIPA ushindi
 
Hawa mbona wote wanatembea,wameinamia chini?
Hawa mbona wote wanatembea,wameinamia chini?
kuna kenge na bandits wawili wameshika njia yao miongoni mwa wengi.

mojawapo ndio hako kagaidi ka kisiasa kalikokua kanaweweseka na kutapatapa jana kasijue pakushika wala haijulikani kalikua kanamueleza nani hasira na makasiriko yake πŸ’
 
Jentoman naomba uthibitishe kwamba taarifa za kuahirisha vikao vya mchujo wenu ninyi wagombea ni za kweli?
ni muhimu zaidi kua wastahimilivu na wenye subra katika hili, na muhimu zaidi ni kuzingatia vyanzo vya habari.

Taarifa zote kuhusu mambo ya CCM kitaifa hutolewa na ofisi ya katibu mkuu taifa na taarifa zote za vikao vya kitaifa na matokeo ya vikao vya CCM taifa hutolewa na muenezi wa chama taifa CPA Amos Makala.

kinyume na hapo ni upotoshaji gentleman. Tuishi humo gentleman πŸ’
 
Uchaguzi huu kwa MFUMO huu hata SAMIA akijipigia kula mwenyewe TU inatosha KULIPA ushindi
Uchaguzi mkuu wa Tanzania ni kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na si vinginevyo gentleman πŸ’
 
Hahahaha hiyo si uhaini au...wapelekwe lupango mbaroni korokoroni. Mtoeni mnyampaa mnamuonea
Kabandits ka siasa kanafiki kama hako, hata ukikatazama tu kanafaa kuwekwa korokoroni kweli gentleman?πŸ’
 
So ni fake? Nataka kujua hilo tu
 
Andishi pumba tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…