Ccm imevunja katiba yake kwa maslah ya watu wachache, wanakuja wakulungwa kunyoosha palipo pinda,kaa kwa kutulia tuone minyukano!Asante CDF mstaafu kwa kudhibiti nia ovu za hao bandits na terrorist wa kisiasa ambao sasa wanajiexpose wenyewe moja moja tena wakiwa hidden places. Na bado.....
Well done our security forces, well done CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan. Ndugu Rais, tafadhali sana shikilia hapo hapo mpaka wajitokeze wote na waseme yote, maana wameanza kuweweseka na kutapatapa wasijue hata wanaongea na nani.
Hongera sana Dr Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia imara kwenye nafasi yako, hao bandits walipanga kuja kuvuruga mchakato wa kumpata mgombea uraisi wa CCM kwa kumchomeka mgombea uraisi wao, na wewe kupitia mkutano mkuu taifa mkwapiga chenga la mwili na kuwapoteza maboya kabisa. Hawatardia tena hiyo mipango yao nonsense 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Vipi nasikia mumehairisha vikaoAsante CDF mstaafu kwa kudhibiti nia ovu za hao bandits na terrorist wa kisiasa ambao sasa wanajiexpose wenyewe moja moja tena wakiwa hidden places. Na bado.....
Well done our security forces, well done CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan. Ndugu Rais, tafadhali sana shikilia hapo hapo mpaka wajitokeze wote na waseme yote, maana wameanza kuweweseka na kutapatapa wasijue hata wanaongea na nani.
Hongera sana Dr Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia imara kwenye nafasi yako, hao bandits walipanga kuja kuvuruga mchakato wa kumpata mgombea uraisi wa CCM kwa kumchomeka mgombea uraisi wao, na wewe kupitia mkutano mkuu taifa mkwapiga chenga la mwili na kuwapoteza maboya kabisa. Hawatardia tena hiyo mipango yao nonsense 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Hamna hoja pale,polepole muhuni tu kama wahuni wengineZile hoja vipi..? Hakuna anayejitokeza kuzijibu kwa hoja zenye nguvu zaidi.?
ili tukufurahishe wewe na hako kabandits kanafiki ka kisiasa sio gentleman?Ccm imevunja katiba yake kwa maslah ya watu wachache, wanakuja wakulungwa kunyoosha palipo pinda,kaa kwa kutulia tuone minyukano!
No Reform,no election!
Naona mnatiki ma ccm tuu...watz wengine wote wamewakataa na utapeli wenu!OCTOBER TUNATIKI ✅
View attachment 3410621
Wewe ni chawa wa upande gani?,CCM wana chawa,CDM na ACT pia wana vijichawa vyao, wewe chawa wa upande upi?Kazi ya uchawa ni ngumu Sana
Hii habari mbona ina niacha kwani uchaguzi tayari?Ama kumbukumbu zangu zinanikumbusha miaka kadhaa iliyopita enzi za kabla ya uzee wenye changamoto nyingi?Asante CDF mstaafu kwa kudhibiti nia ovu za hao bandits na terrorist wa kisiasa ambao sasa wanajiexpose wenyewe moja moja tena wakiwa hidden places. Na bado.....
Well done our security forces, well done CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan. Ndugu Rais, tafadhali sana shikilia hapo hapo mpaka wajitokeze wote na waseme yote, maana wameanza kuweweseka na kutapatapa wasijue hata wanaongea na nani.
Hongera sana Dr Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia imara kwenye nafasi yako, hao bandits walipanga kuja kuvuruga mchakato wa kumpata mgombea uraisi wa CCM kwa kumchomeka mgombea uraisi wao, na wewe kupitia mkutano mkuu taifa mkwapiga chenga la mwili na kuwapoteza maboya kabisa. Hawatardia tena hiyo mipango yao nonsense 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
GM kwani wewe haumo kwenye lile kundi letu la kitaifa la watu wenye mamlaka?ni vizuri kua wastahimilivu, CPA Amos Makala hauwezi kuchelewa kuweka sawa jambo hili in public gentleman 🐒
Dira haiwezi kuwa sababu ya kusimamisha mengine hata Slow slow aliipisha ili msipate ulinganisho,na uzuri aliwahi kuanzisha darasa kuwafunzeni,ila mlimbeza,mlinyanyasa,mlimtisha.Je tuseme sasa mnaitamani elimu yake tena ya bure au?umefikiwa sasa,
dira ya taifa 2050 maisha mazuri na ya furaha🐒
Aisee, kwani wewe 🚮🚮🚮unaishi dunia ipi???😂Asante CDF mstaafu kwa kudhibiti nia ovu za hao bandits na terrorist wa kisiasa ambao sasa wanajiexpose wenyewe moja moja tena wakiwa hidden places. Na bado.....