Waliokusudia kuinajisi Katiba ili Samia asiapishwe kuwa Rais waanza kujitokeza

Hakuna aliyefanya hvyo kutaka asiapishwe, leta ushahidi huo. Utaratibu ni kuchukua fomu ugombee wanachama wapige kura upate zaidi ya nusu za wajumbe ndo utangazwe km mgombea na si kupitishwa kwa kelele za wajumbe njaa waliopewa % kupush agenda.
 
Dira haiwezi kuwa sababu ya kusimamisha mengine hata Slow slow aliipisha ili msipate ulinganisho,na uzuri aliwahi kuanzisha darasa kuwafunzeni,ila mlimbeza,mlinyanyasa,mlimtisha.Je tuseme sasa mnaitamani elimu yake tena ya bure au?
elimu ya unafiki sio gentleman?

kwahiyo unafurahia kweli ulivyodanganywa na huyo eti bandits ataongea na wanahabari akiwa Tz🀣
 
Haramu!
 
Hakuna aliyefanya hvyo kutaka asiapishwe, leta ushahidi huo. Utaratibu ni kuchukua fomu ugombee wanachama wapige kura upate zaidi ya nusu za wajumbe ndo utangazwe km mgombea na si kupitishwa kwa kelele za wajumbe njaa waliopewa % kupush agenda.
kwani huyo bandits na political terrorist alifanyaje akiwa muenezi?
Sio yeye ndie alikua akiwatisha watu hususani wenye nia za kugombea nafasi urais kupitia CCM kwa mizoga ya binadamu iliyokutwa fukweni kwenye mifuko ya sandarusi?

uliwahi kuskia akenena lolote kuhusu hicho kitisho kwa waliokua na nia urais gentleman πŸ’
 
Madikteta, wabakaji na wakandamizaji wa katiba! Samia una mazezeta mengi yasielewa umuhimu wa katiba ya chama na nchi kama ulivosema "kijitabu" misukule yako imashangilia kila unaposigina katiba! Siku tukiyakomboa mazezeta ya samia yatashangaa jinsi yalivyofungwa akili zao kumuabudu samia bila kutafakari mambo kwa kina!
 
Wewe chawaccm bado unavuta Bangi huko gheto kwa Amos makala?
 
ibirisi wa ccm mda wote wanawaza ushetani kuwabambikia kesi za ungo chadema
 
Uchaguzi huu kwa MFUMO huu hata SAMIA akijipigia kula mwenyewe TU inatosha KULIPA ushindi
Kura wanazo mifukoni, mkuu wa Tume ya uchaguzi ya ccm ina matokeo inasubiria kutangaza tu
 
HAdithi za kufikirika tu hatukutambua mzoga hata mmoja nafikiri ungekuwa wa mtu anayeweza kugombea urais tungejua ni fulan, na mgombea kipindi hicho alichukua fomu na kura mkapiga akapata nafikiri 100% au 99% sasa wa muda huu hataki hata kugombea kupitia kura za wajumbe. We ktk hiyo mizoga ulibaini ndg yako yupi?? Wasomali wanafia majini mnatisha watu eti ni mzoga wa kisiasa
 
Je mchakato wa kumpata mgombea ulizingatiwa!?
 
Mama Samia Na Jakaya kikwete Forever!

Join the movement NOW!
 

Mpaka sasa hivi pole pole yuko mbele, 5 - 0.
 
Hawapo JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…