wivu huu wa aliesoma darasani
Yanini makasiriko?
Wewe umempita kwenye kupasua mawe.yeye kakupita darasani,utampita kwa hela ,yeye atakuja kukupita kwa madaraka,etc
Huwezi kua wa kwanza kwenye kila kitu,kila mtu ana uwezo tofauti na mwenzake
Wewe usidhani hako kauwezo kako ka kupasua mawe umemshinda ndio utamshinda kila kitu dunia hii,you are wrong you dummy!
Labda hujanielewa mkuu, sina wivu, m wivu wa Nini Sasa hapo darasani nimepiata. Kila mtu anasomea kitu anachokipenda. Ndio maana Kuna taaluma nyingi za kusomea.
Nimemjibu huyo aliesema kua masomo ya art c kitu. Kwamba sisi tuliosomea art degree hakuna tulichofanya Tena ukiangalia na Sasa soko la ajira haituoi favor.
Wala cjazungumzia uwezo wangu wa kifedha Wala madaraka, Wala cjasema nimemzidi Nini. Ila nilikua natoa tu ukweli kua iwe umesoma art au science bado hakukufanyi uonekane uko better zaidi ya wenzio.
Hiyo nimemjibu mtu fuatilia toka mwanzo mtiririko wa message.
Cha kwanza nimempongeza brother engineer ambae alianzisha mradi wa kuku, yaan tofauti Ana alichosomea na maisha yanaenda. Then nimejilinganisha na mm ambae nimesomea ualimu wa masomo ya arts. Lkn nafanya kazi za mainjinia.
Yaan nikimaanisha maisha hayana formula Ila yanatuhitaji tupambane ili tuendelee kuishi.
Cjajitukuza kau nimemzidi hela Wala kupasua mawe nimeonesha experience za maisha na elimu ya darasani, mda mwengine experience ya kazi maishani inazidi kile ulichokioitia darasani. Kuna mda experience inahitajika zaidi.
Nilichomaanisha ni kua ninaujuzi wa kutumia milipuko vzr, ambao tulipoenda field na engineer mm nilitegemea yeye ndio ataniongiza coz ni kazi yake na kaisome lkn lilipokuja suala la kazi yenyewe mm ndo nikawa tegemeo na yeye mwenyewe alikiri. Sikumdharau Ila nikatambua kua Nina experience kubwa kuliko yeye.
Huyo mwingine alinibishia nilipomwambia ulichokadiria hakiatatosha lkn tulipokuja kuvifanya kazi mm nikawa sahihi kuliko yeye Sasa yeye kasomea, mm sijasomea civil engineering lkn Nina experience ya kile kidogo ninacho kifanya.
Na nimetoa hitimisho kua tukiachana na elimu ya darasani ambayo watu wanajitukuza nayo , tunatakiwa kuishi na maisha yaendelee. Usimdharau mtu kisa we umesoma art au science Misha ni zaidi ya elimu ya kawaida.
Nb: alienifundisha kuhusu milipuko alikua ni jmaa tu darasa lasaba lkn kaajiriwa kwenye kampuni kubwa ya mchina Ila baadae nilipata shirt course ya darasani. Nikapewa leseni.
Tunaishi kwa kutegemeana, hakuna aliye zaidi ya mwenzie kila mtu anaishi kwa maono na matakwa yake.