Waliokuwa wanasema SGR ya Kenya ni mtungi wa chang'aa, ona mtungi unabeba double stack. Jambo ambalo jirani hawana

Waliokuwa wanasema SGR ya Kenya ni mtungi wa chang'aa, ona mtungi unabeba double stack. Jambo ambalo jirani hawana

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Watanzania watuonyeshe double stack, la si hivyo wakae kimya.
260509_53fe8acf3caa9e48e8dadf961efcb0dc.jpeg
260510_3692afa34f3bff55f78d4ca19acbd3ca.jpeg
 
Angalau wewe umepunguza machungu kwa kuchangia povu kuwaliko wenzako wanaopita kimya kimya wakielekea Muhimbili kupumilia mashine.
Walidhani hii siku haitafika
 
Ofcourse especially when u see a last wagon empty! Those r empty containers direction Mombasa.
Heheee!!santa sana...yani umeshaona mpka direction ya kwamba train yaelekea msa...kwel we kiboko
 
Heheee!!santa sana...yani umeshaona mpka direction ya kwamba train yaelekea msa...kwel we kiboko
Hakuna mtu anajua direction ya hio train, huyo Geza ni wivu inamsumbua
 
Back
Top Bottom