Waliomaliza Form Four 2013 Njooni Hapa Tusalimiane !

Waliomaliza Form Four 2013 Njooni Hapa Tusalimiane !

Poa wengine tushaanza kusota tayari mana Jamaa hawana mazoea !

Komaaa! Post zitajijuaga zenyewe zitatoka lini !

attachment.php
 
Attachments

  • 10301125.jpg
    10301125.jpg
    33.6 KB · Views: 589
Dah mi mwenyewe nasoma pre pcm ilimradi kujiprotect maana jamaa hawaaminiki,mtu unaweza ukarest nyumbani ukiwa na matumaini yako ya kuchaguliwa tech hlfu mwisho wa cku unasikia umepelekwa f5 dah ila hapo lzma ukorogeke kidogo maana ukiangalia wenzako walipofikia na ww ndo kwanza huna ki2 afu tena unakuta muda ushaisha wa kwend kuanz tuit
 
Ndo ivyo kaka !

Hawa jamaa uki waamini tu tayari unafanya mistake !
 
Arabic ulisoma wapi? Aiseee hii nchi

Unashangaa arabic Tanzania hii?? Hushanngai kifaransa na mpaka kuna biblia za kichaga (kimarangu)!!
International School nyingi tu mpk kireno Spanish svensca vinafundishwa.
 
Nilikua napiga pindi zangu za HKL mpaka sasa nimeshakata tamaa.
Au hawa jamaa wanataka tuandamane nini?
 
Back
Top Bottom