snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,437
- 2,043
Pouwa!
Poa wengine tushaanza kusota tayari mana Jamaa hawana mazoea !
Komaaa! Post zitajijuaga zenyewe zitatoka lini !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pouwa!
Dah mi mwenyewe nasoma pre pcm ilimradi kujiprotect maana jamaa hawaaminiki,mtu unaweza ukarest nyumbani ukiwa na matumaini yako ya kuchaguliwa tech hlfu mwisho wa cku unasikia umepelekwa f5 dah ila hapo lzma ukorogeke kidogo maana ukiangalia wenzako walipofikia na ww ndo kwanza huna ki2 afu tena unakuta muda ushaisha wa kwend kuanz tuit
Arabic ulisoma wapi? Aiseee hii nchi
Ulisoma Agriculture ukiwa o-level kaka ?
nop cjasoma agriculture
E-ECONOMICS
C-COMMERCE
A-ACCOUNTS
![]()
Jamani hapa tulipofikia si kazi ndogo !
Tumshukuru mungu kwa kutuwezesha kufika mpaka leo hii !
Tukijuliana hali sio mbaya !
Wasalaam !
Kitu kama hiki JF hakipo !
Freedom of speech with fake ID !
Mtumie PM kama shida yako ni hiyo kweli !
Nilikua napiga pindi zangu za HKL mpaka sasa nimeshakata tamaa.
Au hawa jamaa wanataka tuandamane nini?
ntafurahi sana mwana jf m1 nkikutana nae shule moja.ngoja tusubiri post kwanza