Magu alisema alimtaka Hussein Mwinyi.Magu mwenyewe
Hebu tumia meno na ulimi vizuri kutoa ufafanuzi tupate kukuelewa. Ulitaka kusemaje.Nasikia msoga ya bi mkubwa Ipo dodoma, unaamniwa ni bonge la setelite city
Imekula kwake mazafaka—CCM inakufa mgongoni mwa ngamia wake!mpango wa kikwete na ili 2030 kumuweka mwanae.Ndio maana hata kifo cha magufuri ukiunganisha haya na nguvu zinazotumia nashangaa samia anabeba mizigo ya wahalifu bila kujua akitoka kuna watu watamkana kabisa
Ajibu ili tujue tunashauri niniUmesikiliza hotuba lakini 😃
Hakuna aliemchagua ni magu mwenyewe tamaa zake za kumtaka zilipitiliza ila alipendekezwa na mtangulizi wake akaingia lainiWaliomchagua Samia tiketi ya Umakamu wa Magufuli na Uraisi ni wakina nani ?
Walizingatia vitu gani toka kwa huyu mtu ?
Anajua sana kusukuma kete ndani ya chama, anakusukumia unakula kete mbili unachekacheka halafu yeye anakula tano na kingi ameingia.Magu alisema alimtaka Hussein Mwinyi.
Samia ni mtu wa Kikwete.