masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Magufuli alikuwa CCM establishment alivyochaguliwa tu akawafukuza watoto wote wa mafisadi kazi .Dr Mwele alikuwa kipenzi cha watu.
Hakuwahi kufanya siasa kwa muda mrefu, lakini uthubutu wake, hasa akiwa mwanamke msomi na mwanasayansi uliwagusa wengi.
Kuna ambao hawakumpenda kwa sababu hizo.
Lakini huu msiba wake umeonyesha alivo moyoni mwa watu.
Magufuli alimfukuza kazi Dr Mwele, saa sita za usiku.
Magufuli lazima alipelekewa umbeya wa kufitinisha, naye kwa vile kulikuwa na kitu rohoni mwake akasema hapahapa, wala hakukuchi!
Lakini dunia ni mviringo, sijui wafitini, na wanajulikana, wanajisikiaje sasa.
Jiwe alikuwa kichaaMagufuli alimfukuza kazi Dr Mwele, saa sita za usiku.
Dr Mwele alikuwa kipenzi cha watu.
Hakuwahi kufanya siasa kwa muda mrefu, lakini uthubutu wake, hasa akiwa mwanamke msomi na mwanasayansi uliwagusa wengi.
Kuna ambao hawakumpenda kwa sababu hizo.
Lakini huu msiba wake umeonyesha alivo moyoni mwa watu.
Magufuli alimfukuza kazi Dr Mwele, saa sita za usiku.
Magufuli lazima alipelekewa umbeya wa kufitinisha, naye kwa vile kulikuwa na kitu rohoni mwake akasema hapahapa, wala hakukuchi!
Lakini dunia ni mviringo, sijui wafitini, na wanajulikana, wanajisikiaje sasa.
Unajua maana ya "the establishment" wewe!!??Magufuli alikuwa CCM establishment
Jiwe alikuwa taahira a.k.a kichaa. Aliutangazia umma mwenyewe kwamba yeye ni kichaaHebu acha uongo Dr Mwele hakufitiniwa na mtu yeyote yule alijifitini yeye mwenyewe! Jiulize ile Zika ilikwenda wapi? Dr Mwele hakufata utaratibu wowote wa kufanya aliyoyafanya maana hata waziri wake hakuwa na taarifa! Uwezi tangaza janga kwenye nchi halafu bila kuzishirikisha mamlaka! Dr Mwele aliwajibika kwa makosa yake mwenyewe tuache kusingizia watu na kuwabebesha watu lawama wasizostahili!
Poleni wafitini.Hebu acha uongo Dr Mwele hakufitiniwa na mtu yeyote yule alijifitini yeye mwenyewe! Jiulize ile Zika ilikwenda wapi? Dr Mwele hakufata utaratibu wowote wa kufanya aliyoyafanya maana hata waziri wake hakuwa na taarifa! Uwezi tangaza janga kwenye nchi halafu bila kuzishirikisha mamlaka! Dr Mwele aliwajibika kwa makosa yake mwenyewe tuache kusingizia watu na kuwabebesha watu lawama wasizostahili!
Bwashee taahira ni mr #dishlimetiltJiwe alikuwa taahira a.k.a kichaa. Aliutangazia umma mwenyewe kwamba yeye ni kichaa
Kama sikosei alitangaza matokeo ya utafiti na wala sio janga la ugonjwa.Hebu acha uongo Dr Mwele hakufitiniwa na mtu yeyote yule alijifitini yeye mwenyewe! Jiulize ile Zika ilikwenda wapi? Dr Mwele hakufata utaratibu wowote wa kufanya aliyoyafanya maana hata waziri wake hakuwa na taarifa! Uwezi tangaza janga kwenye nchi halafu bila kuzishirikisha mamlaka! Dr Mwele aliwajibika kwa makosa yake mwenyewe tuache kusingizia watu na kuwabebesha watu lawama wasizostahili!
Btw, tuliambiwa humu kuwa Magufuli alikufa mapema kwa sababu ya madhambi yake; sasa huyu binti amekufa kwa sababu ya madhambi ya nani?Poleni wafitini.
Magufuli akiamka leo atakutana na takwiku za Covid , alizozipiga marufuku.
Hebu acha uongo Dr Mwele hakufitiniwa na mtu yeyote yule alijifitini yeye mwenyewe! Jiulize ile Zika ilikwenda wapi? Dr Mwele hakufata utaratibu wowote wa kufanya aliyoyafanya maana hata waziri wake hakuwa na taarifa! Uwezi tangaza janga kwenye nchi halafu bila kuzishirikisha mamlaka! Dr Mwele aliwajibika kwa makosa yake mwenyewe tuache kusingizia watu na kuwabebesha watu lawama wasizostahili!
Umeeleza vizuri sana. Kuna watu wajinga wasioheshimu sayansi kwahiyo ukifanya utafiti kwa mambo wasioyaoyapenda hawataki kusikia matokeo yake. Iwapo angefanya utafiti kuwa watu wangapi na wa marika gani wanampenda Magufuli na akatoa matokeo yake angepandishwa na cheoPale Dr. Mwele hakutangaza outbreak ya Zika. Alikuwa anaelezea matokeo ya tafiti zilizofanyika. Moja ikihusisha watoto wenye mwonekano kama wale wa wazazi waliopata Zika kule Brazil.
Na matokeo yalikuwa chanya, yakiwa yamefanywa kwa PCR machine. Hii ilionyesha kuwa nasi hatujajitenga na haya matatizo kwani karibu nasi kuna nchi ambazo zilikwishapata Zika (mipaka yetu haina makomeo ya ugonjwa).
Uongozi wa juu ukapaniki, kwani haya ni mambo ya science, Zika ni lifelong/matatizo na uwepo wake unaweza kutambuliwa hata ndani ya miaka yote ya maisha yako. Hivyo, mtu akipata unaweza kupata ushahidi wakati wowote.
Hakumaanisha tulikuwa na outbreak, katafute kwenye kile kikao kama kuna neno outbreak au tuna janga la Zika.
Ila kupaniki kwa uongozi kulisukumwa na kilichokuwa kinaendelea Brazil na nchi za karibu na huko.
Umeeleza vizuri sana. Kuna watu wajinga wasioheshimu sayansi kwahiyo ukifanya utafiti kwa mambo wasioyaoyapenda hawataki kusikia matokeo yake. Iwapo angefanya utafiti kuwa watu wangapi na wa marika gani wanampenda Magufuli na akatoa matokeo yake angepandishwa na cheo
Kama sikosei alitangaza matokeo ya utafiti na wala sio janga la ugonjwa.
Pale Dr. Mwele hakutangaza outbreak ya Zika. Alikuwa anaelezea matokeo ya tafiti zilizofanyika. Moja ikihusisha watoto wenye mwonekano kama wale wa wazazi waliopata Zika kule Brazil.