Waliomfitini Dr Mwele kwa Magufuli, wanajisikiaje?

Waliomfitini Dr Mwele kwa Magufuli, wanajisikiaje?

Btw, tuliambiwa humu kuwa Magufuli alikufa mapema kwa sababu ya madhambi yake; sasa huyu binti amekufa kwa sababu ya madhambi ya nani?
Conclusion za makamanda wakati mwingine ni za kijinga sana!
Kifo ni mpango wa Mungu na kila mtu anatembea nacho
Ukiona watu wanamsikitikia marehemu aliye moyoni ni dalili aliishi vyema na watu.

Ukiona watu wanasheherekea na kunywa kwa furaha kifo cha mtu, hilo ni somo kwako uliye hai.
Hatuko sawa.
Tengeneza kabla hayajakufika.
 
Umeeleza vizuri sana. Kuna watu wajinga wasioheshimu sayansi kwahiyo ukifanya utafiti kwa mambo wasioyaoyapenda hawataki kusikia matokeo yake. Iwapo angefanya utafiti kuwa watu wangapi na wa marika gani wanampenda Magufuli na akatoa matokeo yake angepandishwa na cheo

Msifanye watu humu wajinga si kila tafiti zikifanyika basi unakurupuka kutangaza hasa tafiti za magonjwa makubwa...usifananesha utafiti wamagonjwa makubwa na utafiti wa vikoba!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu mbona umepanic!
 
Dr Mwele alikuwa kipenzi cha watu.
Hakuwahi kufanya siasa kwa muda mrefu, lakini uthubutu wake, hasa akiwa mwanamke msomi na mwanasayansi uliwagusa wengi.

Kuna ambao hawakumpenda kwa sababu hizo.
Lakini huu msiba wake umeonyesha alivo moyoni mwa watu.

Magufuli alimfukuza kazi Dr Mwele, saa sita za usiku.
Magufuli lazima alipelekewa umbeya wa kufitinisha, naye kwa vile kulikuwa na kitu rohoni mwake akasema hapahapa, wala hakukuchi!

Lakini dunia ni mviringo, sijui wafitini, na wanajulikana, wanajisikiaje sasa.
alikuwa anaisakama familia ya MALECELA! alimpa mke wake ukuu wa mkoa halafu akamtumbua usku usku kwa ishu ya vyeti feki baadae akaona aibu akampa ubunge viti maalum!

akahamia kwa mwele!

kuna kitu alikuwa anapambana na mzee malecela
 
Hebu acha kuandika gazeti kubwa wambie watu hata wasio elewa maana ya tafiti...mtu akisema kuna viashiria vya ebora baada ya kuwapima watu kumi na kuwakuta wawili wana viashiria vya ebora!

Hebu twambie kwa lugha nyepesi hapa mtu anakuwa ameingea nini?

Hebu wambie watu hapa kama utafiti ni jambo la uongo kiasi kwamba haikuwa na ulazima wa serikali kuchukua hatua...

Hebu wambie watu hapa kwa lugha rahisi kuwa utafiti au matokeo ya utafiti si jambo ambalo watu wanatakiwa kutilia maanani!

Hebu wambie watu kama wewe unajua taratibu za kutoa taarifa za tafiti kwa magonjwa ambayo yanaweza kuitwa majanga....

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukipata mgonjwa ana vimelea na madhira ya ugonjwa ambao kinga yake ni ya maisha ni janga?

Brazil wasingefikia mwafaka kuwa ile ni Zika, leo wakafikia mwafaka kuwa ni Zika, kwa sasa wanatangaza janga??

Mtu akipima polio ikawa/akakutwa na majibu chanya tayari ni janga??
 
Dr Mwele alikuwa kipenzi cha watu.
Hakuwahi kufanya siasa kwa muda mrefu, lakini uthubutu wake, hasa akiwa mwanamke msomi na mwanasayansi uliwagusa wengi.

Kuna ambao hawakumpenda kwa sababu hizo.
Lakini huu msiba wake umeonyesha alivo moyoni mwa watu.

Magufuli alimfukuza kazi Dr Mwele, saa sita za usiku.
Magufuli lazima alipelekewa umbeya wa kufitinisha, naye kwa vile kulikuwa na kitu rohoni mwake akasema hapahapa, wala hakukuchi!

Lakini dunia ni mviringo, sijui wafitini, na wanajulikana, wanajisikiaje sasa.
Kwani mkuu huoni baada ya kufukuzwa na zika ikajifukuza yenyewe.
 
Baada ya kufukuzwa na zika ikajifukuza yenyewe aiseeee

Kwani wale watoto hawapo??
Kasome lengo la utafiti ule.
Ungefanyika utafiti kupinga utafiti huo. Mbona mambo yako wazi.
 
Dr Mwele alikuwa kipenzi cha watu.
Hakuwahi kufanya siasa kwa muda mrefu, lakini uthubutu wake, hasa akiwa mwanamke msomi na mwanasayansi uliwagusa wengi.

Kuna ambao hawakumpenda kwa sababu hizo.
Lakini huu msiba wake umeonyesha alivo moyoni mwa watu.

Magufuli alimfukuza kazi Dr Mwele, saa sita za usiku.
Magufuli lazima alipelekewa umbeya wa kufitinisha, naye kwa vile kulikuwa na kitu rohoni mwake akasema hapahapa, wala hakukuchi!

Lakini dunia ni mviringo, sijui wafitini, na wanajulikana, wanajisikiaje sasa.
Nao wanatuma salamu za rambirambi
 
Sasa wewe umeandika nini na mimi nimeandika nini? Kwa hiyo alitangaza kuna Zika au hakuna?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hapa ndio tunapopata shida.
Zika unaweza kupata na usipate dalili na si dalili zote ni specific.

Hii ilikuwa retrospective study, haikumaanisha kulikuwa na active state by then.
 
Dr Mwele alikuwa kipenzi cha watu.
Hakuwahi kufanya siasa kwa muda mrefu, lakini uthubutu wake, hasa akiwa mwanamke msomi na mwanasayansi uliwagusa wengi.

Kuna ambao hawakumpenda kwa sababu hizo.
Lakini huu msiba wake umeonyesha alivo moyoni mwa watu.

Magufuli alimfukuza kazi Dr Mwele, saa sita za usiku.
Magufuli lazima alipelekewa umbeya wa kufitinisha, naye kwa vile kulikuwa na kitu rohoni mwake akasema hapahapa, wala hakukuchi!

Lakini dunia ni mviringo, sijui wafitini, na wanajulikana, wanajisikiaje sasa.
Unawajua hao wafitini
 
Hapa ndio tunapopata shida.
Zika unaweza kupata na usipate dalili na si dalili zote ni specific.

Hii ilikuwa retrospective study, haikumaanisha kulikuwa na active state by then.
Mkuu sayansi ya utafiti kwa wenye roho nyepesi, wanafikiri ni uchuro au uchawi.
 
Pale Dr. Mwele hakutangaza outbreak ya Zika. Alikuwa anaelezea matokeo ya tafiti zilizofanyika. Moja ikihusisha watoto wenye mwonekano kama wale wa wazazi waliopata Zika kule Brazil.

Na matokeo yalikuwa chanya, yakiwa yamefanywa kwa PCR machine. Hii ilionyesha kuwa nasi hatujajitenga na haya matatizo kwani karibu nasi kuna nchi ambazo zilikwishapata Zika (mipaka yetu haina makomeo ya ugonjwa).

Uongozi wa juu ukapaniki, kwani haya ni mambo ya science, Zika ni lifelong/matatizo na uwepo wake unaweza kutambuliwa hata ndani ya miaka yote ya maisha yako. Hivyo, mtu akipata unaweza kupata ushahidi wakati wowote.

Hakumaanisha tulikuwa na outbreak, katafute kwenye kile kikao kama kuna neno outbreak au tuna janga la Zika.
Ila kupaniki kwa uongozi kulisukumwa na kilichokuwa kinaendelea Brazil na nchi za karibu na huko.
Unalosema ni sawa. Utafiti wao ulihusisha watoto 80 wenye mwonekano kama hao unaosema wa Brazil. 35% wakawa positive. Shida ilikuja pale aliposema Zika ni endemic Tanzania.

Huwezi tumia sample sample size ndogo hivyo tena purposefully selected (wenye features zinazoendana na zika) then ukaja na conclusion ya general population, kwamba Zika ni endemic in Tanzania.
 
Kuhamia Dodoma yalikuwa maamuzi ya hovyo with heavy loose of multibillion USD , Dr mwele ni moja ya watu wa hovyo zaidi ndo mana alifukuzwa na hakuna haja ya kuandika upuuzi wake humu , alale Kwa Amani huko Aliko , kuna mambo Maghufuli aliyafanya kiume hakuna Raisi wa kumfikia labda azaliwe mwingine hayo nitamtetea whatever the case , na kuna mambo alichochora vibaya mno hayo pia nitamponda
 
Back
Top Bottom