Waliomfitini Dr Mwele kwa Magufuli, wanajisikiaje?

Waliomfitini Dr Mwele kwa Magufuli, wanajisikiaje?

Magufuli kwa chuki zake na umbea aliokuwa anapelekewa akamfukuza kwa aibu mhandisi Mramba ukurugenzi Tanesco akila krismas na familia yake Moshi
Wee ngedere unakuwaga na hoja yoyote ya maana kweli?
 
She must have been a total fraud, even in her private life. Alibebwa tu na jina kubwa la baba yake. She must have cheated her way into her academic and work life because her dad always had her back throughout.
 
Kosa aliyetakiwa kutoa tamko lile ni waziri was afya utafiti wake koko alitakiwa amkabidhi waziri wa afya atumie naye wataalamu wake wasafya kuthibitisha kama in kweli au la

Yeye akajiibukia tu kutangaza kuwa kuna janga zito kama lile halikuwa jukumu lake utalii ungekufa kwa watalii kuja kuogopa Zika

Actually alitakiwa kukamatwa na kushtakiwa kama mhujumu uchumi lakini akawahi kupewa post haraka haraka na hao waliokuwa wamemtuma ulaya

Waua uchumi yaani economic hitmen wako maeneo mengi yeye alikuwa mtaka kuua uchumi kupitia tafiti feki za udaktari wake .Magufuli akampiga chini kwa spidi ya mwewe baada ya kugundua kuwa in economic hitman kupitia fani yake ya udaktari

Anyway yeye keshaondoka duniani yake kamaliza .Mungu amuweke panapomstaahili
Naam!
Kwa muktadha ule, mtu wa kwanza ambaye either hakuelewa, au alielewa findings hizo ila kwa sababu zake kuendana na ukaribu na mamlaka ya uteuzi alimgeuka Dr… ni waziri husika ambaye wote tunamjua!
 
Umeeleza vizuri sana. Kuna watu wajinga wasioheshimu sayansi kwahiyo ukifanya utafiti kwa mambo wasioyaoyapenda hawataki kusikia matokeo yake. Iwapo angefanya utafiti kuwa watu wangapi na wa marika gani wanampenda Magufuli na akatoa matokeo yake angepandishwa na cheo
Angepanda cheo kama angetoa matokeo ambayo yangem-favour JPM, lakini angetoa matokeo tofauti na wanayoyataka wao, yangemkuta ya yule jamaa wa Twaweza
 
She must have been a total fraud, even in her private life. Alibebwa tu na jina kubwa la baba yake. She must have cheated her way into her academic and work life because her dad always had her back throughout.
Umeongea hisia zako not based on any fact.
Na ninyi ndio wafitini wenyewe.
 
Angepanda cheo kama angetoa matokeo ambayo yangem-favour JPM, lakini angetoa matokeo tofauti na wanayoyataka wao, yangemkuta ya yule jamaa wa Twaweza
Sio utafiti ukifanya uwe mzuri au mbaya unatakiwa kupeleka ngazi za juu nao wahakiki

Yeye bosi wake ni waziri wa afya kama aliona kuna issue kubwa kuna zika ruksa yeye kafanya utafiti angepeleka wizarani kule kuna wataaalamu wengi wa kuhakiki na taasisi kibao za wizara ya afya nje ya ya kwake ambao wangehakiki na jointly kupeleka mapendekezo kwa waziri wa afya kuwa hili zika lipo

Sasa yeye kajifungia kwenye kiofisi chake huko anaingia anatoka kutangaza ohhh Tanzania kuna Zika!!! Ndio maana alpigwa chini

Utaalamu pia unatakwa kukiwa na issue kubwa lazima wataalamu wengine wahakiki hizo tafiti zako!!!
 
She must have been a total fraud, even in her private life. Alibebwa tu na jina kubwa la baba yake. She must have cheated her way into her academic and work life because her dad always had her back throughout.
Huu ndio wivu wa kijinga, mtu anapimwa kwa uwezo sio jina lake la familia angekuwa kichwa nazi hao wazungu wangemchangamkia?
 
Sio utafiti ukifanya uwe mzuri au mbaya unatakiwa kupeleka ngazi za juu nao wahakiki

Yeye bosi wake ni waziri wa afya kama aliona Luna issue kubwa kuna zika ruksa yeye kafanya utafiti angepeleka wizarani kule kuna wataaalamu wengi wa kuhakiki na taasisi kibao za wizara ya afya nje ya ya kwake ambao wangehakiki na jointly kupeleka mapendekezo kwa waziri wa afya kuwa hili zika lipo

Sasa yeye kajifungia the kwenye kiofisi chake huko anaingia anatoka kutangaza ohhh Tanzania kuna Zika!!! Ndio maana alpigwa chini
Wafitini +Umi combine, mlikuwa wote bedroom?
 
Huu msiba uko wapi? Sijaona watu wakienda kwa mzee malechela wala kutoa pole kwa mama kilango, lemutuz nae sijui vipi
 
Sio utafiti ukifanya uwe mzuri au mbaya unatakiwa kupeleka ngazi za juu nao wahakiki

Yeye bosi wake ni waziri wa afya kama aliona kuna issue kubwa kuna zika ruksa yeye kafanya utafiti angepeleka wizarani kule kuna wataaalamu wengi wa kuhakiki na taasisi kibao za wizara ya afya nje ya ya kwake ambao wangehakiki na jointly kupeleka mapendekezo kwa waziri wa afya kuwa hili zika lipo

Sasa yeye kajifungia the kwenye kiofisi chake huko anaingia anatoka kutangaza ohhh Tanzania kuna Zika!!! Ndio maana alpigwa chini

Utaalamu pia unatakwa kukiwa na issue kubwa lazima wataalamu wengine wahakiki hizo tafiti zako!!!
Unajuaje wizarani haikufika? Wekeni akiba ya maneno.
 
Huu msiba uko wapi? Sijaona watu wakienda kwa mzee malechela wala kutoa pole kwa mama kilango, lemutuz nae sijui vipi
Mbona Le Mutuz anapokea wageni na wanasaini kitabu cha maombolezo na Mzee Samwel wanamfariji na picha zipo.
 
Unajuaje wizarani haikufika? Wekeni akiba ya maneno.
Sawa hata kama alifikisha wizarani kwa nini hakusubiri wizara ndio itangaze kiherehere cha yeye kutangaza alikitoa wapi wakati anajua kabisa haiko chini ya mandate yake kutangaza ?
 
Hivi kwann tusitume dreamliner ifate mwili au mnasubiri aletwe na Emirates?
 
Back
Top Bottom