Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,777
- 2,392
Du....!Kweli mlikuwa wote chumbani!
Du....!Kweli mlikuwa wote chumbani!
Etiii?Karibu nusu ya wagombea urais 2015, hawapo sijui walilishana nini?
Kama una kumbukumbu sahihi, siku ya kikao ambacho Dr. Mwele alikuwa anatoa matokeo ya utafiti huo Waziri wa Afya alikuwa hapo hapo kwenye kikao. Dr. Mwele HAKUTANGAZA kuwa kuna Zika bali alikuwa anatoa taarifa ya matokeo ya utafiti uliofanywa na NIMR. Na hiyo taarifa ilihusisha magonjwa mengine pia wala haikuwa Zika peke yake.Sio utafiti ukifanya uwe mzuri au mbaya unatakiwa kupeleka ngazi za juu nao wahakiki
Yeye bosi wake ni waziri wa afya kama aliona kuna issue kubwa kuna zika ruksa yeye kafanya utafiti angepeleka wizarani kule kuna wataaalamu wengi wa kuhakiki na taasisi kibao za wizara ya afya nje ya ya kwake ambao wangehakiki na jointly kupeleka mapendekezo kwa waziri wa afya kuwa hili zika lipo
Sasa yeye kajifungia kwenye kiofisi chake huko anaingia anatoka kutangaza ohhh Tanzania kuna Zika!!! Ndio maana alpigwa chini
Utaalamu pia unatakwa kukiwa na issue kubwa lazima wataalamu wengine wahakiki hizo tafiti zako!!!
Hivi unadhani kila profession unaweza ku-fake?She must have been a total fraud, even in her private life. Alibebwa tu na jina kubwa la baba yake. She must have cheated her way into her academic and work life because her dad always had her back throughout.
Ndio waliotumika na mwendazake kuiba kura hao.Hivi unadhani kila profession unaweza ku-fake?
Kwa taarifa yako tafiti zote zinazofanywa na NIMR hupelelwa Wizarani. Dr. Mwele hakuwa mjinga kutoa matokeo ya utafiti pale tena mbele ya Waziri bila kupeleka taarifa WizaraniSio utafiti ukifanya uwe mzuri au mbaya unatakiwa kupeleka ngazi za juu nao wahakiki
Yeye bosi wake ni waziri wa afya kama aliona kuna issue kubwa kuna zika ruksa yeye kafanya utafiti angepeleka wizarani kule kuna wataaalamu wengi wa kuhakiki na taasisi kibao za wizara ya afya nje ya ya kwake ambao wangehakiki na jointly kupeleka mapendekezo kwa waziri wa afya kuwa hili zika lipo
Sasa yeye kajifungia kwenye kiofisi chake huko anaingia anatoka kutangaza ohhh Tanzania kuna Zika!!! Ndio maana alpigwa chini
Utaalamu pia unatakwa kukiwa na issue kubwa lazima wataalamu wengine wahakiki hizo tafiti zako!!!
Mijitu mingine mijinga kweli!! Anadhani Dr. Mwele angeweza kutoa taarifa ya matokeo kwa kumshtukiza Waziri kwenye kikao!!!Unajuaje wizarani haikufika? Wekeni akiba ya maneno.
Zikihusu issue ya kitaifa yeye sio msemaji wa taifaKwa taarifa yako tafiti zote zinazofanywa na NIMR hupelelwa Wizarani. Dr. Mwele hakuwa mjinga kutoa matokeo ya utafiti pale tena mbele ya Waziri bila kupeleka taarifa Wizarani
Angetimuliwa hapo hapo huo utafiti wake kahakiki nani? Angekamatwa na pingu juuMijitu mingine mijinga kweli!! Anadhani Dr. Mwele angeweza kutoa taarifa ya matokeo kwa kumshtukiza Waziri kwenye kikao!!!
Wakati uteuzi wake wizara lazima ahusike Kilichomkuta naona somo utakuwa umelielewa .Wizara ihusike kukubali ushike post halafu ukishapata unajifanya kjogoo.Wizara unaiona hopeless!!!Kwa taarifa yako tafiti zote zinazofanywa na NIMR hupelelwa Wizarani. Dr. Mwele hakuwa mjinga kutoa matokeo ya utafiti pale tena mbele ya Waziri bila kupeleka taarifa Wizarani
Wewe sio sexles sema kweli wewe ni shoga.Jiwe alikuwa taahira a.k.a kichaa. Aliutangazia umma mwenyewe kwamba yeye ni kichaa
Good mkuu kwa maelezo yenye shibe.wabongo tumejaa uzushi majungu na kujikomba kwa viongozi waliopo madarakani ndo maana hatuendelei kama nchiHebu acha uongo Dr Mwele hakufitiniwa na mtu yeyote yule alijifitini yeye mwenyewe! Jiulize ile Zika ilikwenda wapi? Dr Mwele hakufata utaratibu wowote wa kufanya aliyoyafanya maana hata waziri wake hakuwa na taarifa! Uwezi tangaza janga kwenye nchi halafu bila kuzishirikisha mamlaka! Dr Mwele aliwajibika kwa makosa yake mwenyewe tuache kusingizia watu na kuwabebesha watu lawama wasizostahili!
Dhambi ya FITINA itawalaDr Mwele alikuwa kipenzi cha watu.
Hakuwahi kufanya siasa kwa muda mrefu, lakini uthubutu wake, hasa akiwa mwanamke msomi na mwanasayansi uliwagusa wengi.
Kuna ambao hawakumpenda kwa sababu hizo.
Lakini huu msiba wake umeonyesha alivo moyoni mwa watu.
Magufuli alimfukuza kazi Dr Mwele, saa sita za usiku.
Magufuli lazima alipelekewa umbeya wa kufitinisha, naye kwa vile kulikuwa na kitu rohoni mwake akasema hapahapa, wala hakukuchi!
Lakini dunia ni mviringo, sijui wafitini, na wanajulikana, wanajisikiaje sasa.
Timu Magufuli.Msifanye watu humu wajinga si kila tafiti zikifanyika basi unakurupuka kutangaza hasa tafiti za magonjwa makubwa...usifananesha utafiti wamagonjwa makubwa na utafiti wa vikoba!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli mkuu, tunaona humu kwenye mada walivyo panic.
Sasa hapa ndiyo umeongea nini ?Magufuli alikuwa CCM establishment alivyochaguliwa tu akawafukuza watoto wote wa mafisadi kazi .
Jina lako unalinajisi.afrika kusini Hilo jina Lina thamani kubwa.wewe umegeuka praise team ya ccm.Btw, tuliambiwa humu kuwa Magufuli alikufa mapema kwa sababu ya madhambi yake; sasa huyu binti amekufa kwa sababu ya madhambi ya nani?
Conclusion za makamanda wakati mwingine ni za kijinga sana!
Ni upoyoyo wa kiwango Cha lami.unaficha utafiti ili iweje?au unataka ukamuonyeshe mmeo na watoto wako??Msifanye watu humu wajinga si kila tafiti zikifanyika basi unakurupuka kutangaza hasa tafiti za magonjwa makubwa...usifananesha utafiti wamagonjwa makubwa na utafiti wa vikoba!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]