Waliomkimbia Magufuli na kujenga wazo la kurudi baada ya Samia kuwa madarakani, wamefuta wazo la kurudi sababu as time goes on tyranny rule dominates

Waliomkimbia Magufuli na kujenga wazo la kurudi baada ya Samia kuwa madarakani, wamefuta wazo la kurudi sababu as time goes on tyranny rule dominates

Utawala wa kiimla hauwezi kuondoka hapa nchini mpaka Katiba iliyopo sasa hivi itakapoondoka.
Huu ndio ukweli mchungu.
 
Wengi hasa waliokimbia ukatili wa Magufuli, na watanzania kwa ujumla walijenga matumaini ya utawala bora mara baada ya Samia kuingia madarakani. Sasa matumaini yamepotea kutokana na undemocratic, tyranny rule now becoming quite prevalent!

Watu wamepoteza matumain hasa baada ya Samia kukataa maridhiano, Katiba mpya, Tume huru ya uchaguzi, utawala wa sheria, kuvunja katiba (case ya Jaji Mkuu AS ONE OF THE VIVID EXAMPLE) na mengine mengi ya utawala wa kikatili!

SASA TUKO HAPA: Tyranny occurs when absolute power is granted to a ruler. In a tyrannical government, the ruler becomes corrupt and uses his power to further his own interests instead of working for the common good. The rule of law is the principle that no one is exempt from the law, even those who are in a position of power.
Hao wameolewa huko na mabwana zao na wewe kama unataka nenda ukaolewa mkuu utuachie nchi yetu wewe mwanasheria wakubumba!!
 
Back
Top Bottom