Waliompiga mawe Askofu Gwajima kuhusu sintofahamu ya chanjo, njooni hapa. Mtalipa fidia gani kwa waathirika wa chanjo?

Kwahiyo hayo madhara ya chanjo ndio hayo aliyoweka Hapo kwenye kivideo Cha YouTube?
Ningekuona, ningekupa juice ya mchanganyiko wa embe, limao, parachichi, tangawizi, iliki, nyanya na nini vile?
 
Unakula wapi lunch leo nikulipie? Naam!. Umenena hasa!.
 
Sometimes jaribu kukaa kimya ili uepushe ukoo wako na hizi Aibu ndogo ndogo.

On sasa kila mtu anaona ukoo wenu umejaa Majuha.
Wewe ndiye juha, unayesubiri uliwe mamba ndippo ujue meno ya mamba yanaua!. Pumbavu!.
 
acha ubishi, hao watu wanaofundisha hapo wapo deep sana.
 
Nina mwaka tangu nimechanja
Ikiganda naiyeyusha simple [emoji23][emoji1431]
 
Kutokuchanja mpaka sasa kumeshanikosesha mambo fulani lakini siba budi
 
Tangu ndugai abatizwe kwa moto Gwajima amekuwa mpole.
 

1: Tujifunze kwanza mpaka chanjo inaingia kwenye clinical trial na phase three unaelewa maana yake?
Unaelewa nini kinazingatiwa?
Nenda kasome drug discovery and development then soma how clinical trials are monitored.

Pia, nitakuomba unijie na jina la dawa moja duniani ambayo haina side effect/s kwa mwanadamu. Watu wanachoangalia ni does the benefits outweigh the risks? And to what extent?

2: Madhira ya chanjo nimeeleza kwa uwazi. Kama chanjo inaweza kuingilia DNA hata maambukizi ya Covid yenyewe athari ni zilezile. Na hatujaona mpaka sasa mabadiliko makubwa ya ini zaidi ya watu kupata viral hepatitis. Hivyo, hakuna cha kushadadia hapo. Na hii watu walikuwa wanafuatilia kwa nini PCR inaendelea kudetect viral load kwa muda zaidi baada ya mgonjwa kupona. Kama ingekuwa ni suala la kudumu watu wasingekuwa negative baada ya muda. Hivyo, utaratibu wake siyo kama ilivyo kwa HIV.

Wenzetu wanajua what is the power of scientific research, wan-foresee vitu vingi. Sisi tunajua power of politics na umbea, hata kusoma available materials ni tatizo. Ndo maana tunaruka na vitaarifa vidogovidogo tika kwa anti- vaccine groups.
 
Umepost utopolo.
Nikifikiri utapost experience za humu nchini kumbe umeshabikia hot air.
Mimi nimechanja JJ na booster ya pfizer(sindano mbili) , mambo yote shwari.
 
acha ubishi, hao watu wanaofundisha hapo wapo deep sana.

Nimekwambia kasome paper achana na wako deep.Jitafutie maarifa uwe huru na uweze kunyambua haya. You can swing with the Bible to any side you want. Research paper iko nenda kasome kama uko dependant kwa hao ni juu yako. Jaribu kujitegemea
 
Nimekwambia kasome paper achana na wako deep.Jitafutie maarifa uwe huru na uweze kunyambua haya. You can swing with the Bible to any side you want. Research paper iko nenda kasome kama uko dependant kwa hao ni juu yako. Jaribu kujitegemea
Kwani hizo wanazofundisha hapo sio research paper???? Mfano hiyo video ya kwanza
 
Kwani hizo wanazofundisha hapo sio research paper???? Mfano hiyo video ya kwanza

1: Nenda kasome mwenyewe uelewe.

2: Mtafute Dr. Mobeen na video zake kuhusu Covid and vaccine. Msimlishe maneno yenu kwa interest zenu. Thinking ya mtu mnafanya conclusion na kuruka nazo.

3: Unaelewa kufanya reserch paper critical appraisal/analysis??
Si majibu yote yanahitaji hujibiwa ndani ya tafiti moja. Na tafiti moja yaweza kuwa mlango wa utafiti mwingine kwa kuangalia strength na weakness ya matokeo ya mwenzio njia iliyotumika.
 
Wewe huna haja ya kujifariji kwa namna yoyote. Tangu lini majaribio ya dawa yakafanyiwa kwa binadamu moja kwa moja? Maswali yote haya,na mijadala hii ilitakiwa ifunikwe kwa kiwango kikubwa na matokeo ya maabara nje ya binadamu.

Mnapowalazimisha watu kuchanjwa, halafu mnawasainisha viapo kwamba damu zao ziwe juu ya vichwa vyao, halafu wenye ufahamu zaidi ya agenda zenu mnawa persecute, na wengine kwa ujinga mnafanya ngono eti ndiyo kipimo cha usalama wa chanjo, mnategemea nani atawaamini? Fungeni shule zote na msema "book ni haram", halafu ndipo mje na hizo levels mnazozitaka.

Look here.

Leo hii watu wanaganda damu, miili inaavimba, wanashindwa kupumua, figo haziwezi, maumivu ya vichwa, kushindwa kuona, pressure kushuka n.k, waganga wanauliza kama alichanjwa. Halafu wanasema there is nothing we can do about this. Ombeni Mungu. Mtakomaa hadi lini kutetea uhaaribifu bila aibu na watu wanakufa?

Kumbuka hata kama hamtaki kuandika sababu ya madhara hayo kuwa ni chanjo, kama mlivyokuwa mnalazimishwa kuandika vifo vyote viandikwe ni vya korona ili kukuza namba, jueni hila zenu zina mwisho. Na mwisho wake ni Mbele ya "Mzee wa Siku".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…