- Thread starter
- #41
Ningekuona, ningekupa juice ya mchanganyiko wa embe, limao, parachichi, tangawizi, iliki, nyanya na nini vile?Kwahiyo hayo madhara ya chanjo ndio hayo aliyoweka Hapo kwenye kivideo Cha YouTube?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningekuona, ningekupa juice ya mchanganyiko wa embe, limao, parachichi, tangawizi, iliki, nyanya na nini vile?Kwahiyo hayo madhara ya chanjo ndio hayo aliyoweka Hapo kwenye kivideo Cha YouTube?
Unakula wapi lunch leo nikulipie? Naam!. Umenena hasa!.Anachozungumza mleta mada ni kwamba, sawa watu walikuwa wanafanya jitihada ya kuwaokoa watu dhidi ya janga la corona, lakini nyuma ya pazia walikusudia kutimiza lengo lao walilokusudia. Lakini wadadisi waliolibaini hilo mapema walipotoa angalizo kuhusu madhara ya hizo vaccine na mpango wa nyuma ya pazia wa hao waleta chanjo, WALISHAMBULIWA NA KUONEKANA MAADUI.
Wewe ndiye juha, unayesubiri uliwe mamba ndippo ujue meno ya mamba yanaua!. Pumbavu!.Sometimes jaribu kukaa kimya ili uepushe ukoo wako na hizi Aibu ndogo ndogo.
On sasa kila mtu anaona ukoo wenu umejaa Majuha.
Jibu mkuu acha janja janjaMaswali ya kijinga sijibu.
We unamsikia nani anaongelea haya?siku izi mbona amekuwa mpole sana haongelei tena ayo mamboo ya korona? ata jimboni mwake atumuonii
Wewe ndiye juha, unayesubiri uliwe mamba ndippo ujue meno ya mamba yanaua!. Pumbavu!.
Asante ndugu yangu kwa offer.Unakula wapi lunch leo nikulipie? Naam!. Umenena hasa!.
acha ubishi, hao watu wanaofundisha hapo wapo deep sana.Kabla ya kupiga kelele zozote ilikuwa ni vyema kutafuta toleo zima la utafiti na kulisoma, kuliko kulishwa maneno na kuruka nayo. Hata biblia inaweza kutumiwa na mchawi atakavyo.
1: Utafiti uliofanyika ni in-vitro/kwenye maabara na pia ni pre-clinical. Kwa kutumia ini Huh7. Haijafika hata clinical stage.
2: Dose iliyotumika kwa seli za ini husika ni kubwa ukilinganisha na dose ya kawaida ya chanjo. Ambayo wao pia wanasema itahitaji kunyambulishwa zaidi/kutolewa maelezo sahihi.
3: Imesharipotiwa na Pfizer na BioNTech kuwa asilimia 18 (18%) ya dose ya chanjo/dawa inaenda kwenye ini. Hilo linajulikana.
4: Tafiti zimeshaonyesha kuwa virusi vya SARS-Cov2 RNA vinaweza kuingilia mfumo wa DNA ya seli kwa mtindo wa Reverse-transcriptase. Nasisitiza VIRUSI na SI CHANJO ya mRNA.
5: Chanjo ya BNT162b2 ni sehemu ya SARS-Cov2 inaweza pia kujishikiza kwenye DNA kwa mtindo uleule.
MALENGO YA UTAFITI
1: Kuangalia/demonstrate kama BNT162b2/chanjo ina uwezo wa kuingia kwenye seli za ini na kwa njia ipi kwa kiasi gani?
2: Athari/demonstrate ya BNT162b2/chanjo kwenye Reverse Transcriptase Long Interspersed Nuclear Element-1 (LINE-1) na kiasi cha protein husika.
3: Kutafuta/demonstrate Reverse BNT162b2 DNA kwenye seli za Huh7/ini husika.
Majibu hapo juu yote yamepatikana ni kweli. Kinachofuata/unachohutaji kujua kabla ya kelele ni:
1: Je mabadiliko haya ni ya kudumu na kwa kiasi gani?
2: Mabadiliko haya yana-athiri ufanyaji kazi wa seli husika?
3: Mabadiliko haya yanaweza kusababisha vitu kama KANSA na au kuzaliana na kugeuka sumu kwa DNA ya seli za mwanadamu?
4: Swali pia litakuja kuwa kati ya aliyepata half impact ya Covi (chanjo) na ku-control multiplication na aliyepata Covid full range impact nani atapata athari zaidi kutokana na athari ya kila kimoja?
NB: Haya yanayozungumzwa hapa yanahusu pia walioambukizwa Covid, na kwa tafiti za mwanzo ililenga kujua kwa nini wagonjwa wa Covid waliendelea kuwa na majibu positive kwa kipimi cha PCR kwa muda mrefu kidogo baada ya maambukizi/kuumwa.
Kwenye utafiti huu, hakuna sehemu wamesema mtu atageuka ZOMBI au HATAZAA nk.
Tujisomee haya mambo.
Watanzania wengi wamesoma Kiswahili na History, unawaambia issue za DNA ??!, hawawezi kukuelewa, but time will tell.Maswali ya kijinga sijibu.
Usijifariji. This is scientific research. Scientists don't conclude without pieces of evidence but scientifically are able to see the end results.
Haya maswali, walipashwa kujiuliza wapiga debe wa chanjo badala ya kuwaambia watu wajinga, huku wakijua ni wajinga kwamba chanjo haina madhara.
Kwa kuprove ujinga wao juu ya wananchi wanaowangoza, wengine wakaenda hadi kujidhalilisha eti anatest side effects za chanjo kwa ufanisi wa kingono!. Hii siyo fedheha?
BTW, majibu haya yalitakiwa yasubiriwe kwenye laboratory rats na si kwa binadamu. Na hii ndio ilikuw ahoja ya Gwajima.
Wewe unatambua kuna so many hypothesis ambazo, huwezi kuziru rule out nje ya maabara.
Vipi pale zinakuwa ni lifetime effects?
DNA za chanjo zitakapokuwa tofauti na za Mungu, unakombine pamoja kinatokea nini? Baada ya muathirika, anaoa ama kuoelewa na mtu mwenye namna nyingine wanazaa kitu gani?
Ikitokea katika muunganiko mtoto mmoja anatokea kuwa na dna za chanjo tu, anakuwa ni kiumbe gani?
Please be human, heavens will honor you!.
Mimi ni muhanga wa thrombosis ya chanjom na wala si suala la siasa wala mjadiliano ya kunogesha bao.. Waganga wanakuambia hawana namna labda uende ukatafute Mungu!. Unataka kusemaje ndugu yangu? Omba yasikukute!.
Chanjo yaanza kubadilisha utu wa binadamu. Ni kipindi cha ukweli na uwazi. Msiwafanye Watanzania mazezeta ama kwa makusudi, ama kwa kutokujua kwenu, ama kwa vyoyote vile.
Kama mnavyotoa takwimu za wachanjwaji, mnaweza kutoa takwimu za kweli za wahanga wanaoganda damu na madhara mengine?
Mlimbishia Gwajima mkampiga mawe, leo hii mnasemaje, pale wataalamu wanaposema sasa chanjo imeanza kuingilia ubinadamu wa wahanga?
This is serious. Naomba mjadili hapa kwa kumheshimu Mungu muumbaji, na siyo kulinda vyeo ama kufisha aibu kwa sababu, liko kubwa linakuja ambalo kabla haliljafika, unaweza kuona wewe bingwa na mjanja.
acha ubishi, hao watu wanaofundisha hapo wapo deep sana.
Kwani hizo wanazofundisha hapo sio research paper???? Mfano hiyo video ya kwanzaNimekwambia kasome paper achana na wako deep.Jitafutie maarifa uwe huru na uweze kunyambua haya. You can swing with the Bible to any side you want. Research paper iko nenda kasome kama uko dependant kwa hao ni juu yako. Jaribu kujitegemea
Kwani hizo wanazofundisha hapo sio research paper???? Mfano hiyo video ya kwanza