Waliomuua Dkt. Isack wa Nyamongo HC wakamatwe haraka

Kwani huyo bar maid ni mke wa mtu? Sioni kosa lolote mtu kujichukulia zake bar maid eti auwawe
Bar maid anakusaje mwanaume mkuu. Vitu vingine watu hujitaftia mabalaa wenyewe
 
Barmaid ni FD1 ukimpiga na 5W +H lazima alowe mwili wote
 
Hujui kitu ukikaa kimya itasaidia kuficha ujinga wako.
 
Mifumo tu mibovu kuna watu wameenda huko JKT 2yrs wamerud wamenikuta tyr nishajifunza mambo kibao through shortcourses yaan ki intellectual wapo wiped off.. hakuna cha maana walichopata zaidi ya kuwa mizigo ktk family zao.
 
Ndio maana kuna kabila lile lingine wazee wa Misifa wao waliwekeza ktk Elimu ndio maana huwakosi ktk sehem zinazotumia akili tofauti na wale wazee wa Mapanga na fimbo.

Inabidi lifanyike fagio kuondoa kizazi cha wajinga na wenye upeo mdg wa akili.
 
Maneno ya simbachawene unayakumbuka ,lakini huwezi ajiri hao wakalinde mabenk
 
Akili nayozungumzia hapa ni Akili ya kujiongeza.

Ikumbukwe kuwa ELIMU ya darasani inakupa exposure ndio maana reasoning level ya form 4 huweza fananisha na reasoning level ya mtu w
Aliyehitimu Degree.

Ndio maana hata kikazi kuna level ukifika unahitajika uongeze elimu ili upande CHEO na ni lazima.

So hivi vitu vinaenda parallel.

Aliyeenda darasani tofauti na aliyekaa tu nyumbani.

Ndio maana kuna MJINGA na MPUMBAVU hawa ni watu wawili tofauti.
 
Na ambaye hatafika umri WA 40 na awe WA kwanza kumsakama aliye na 40 hivi sasa!! Kila mtu ni 40 years mtarajiwa
 
Kwa hiyo ukiondoa hivyo vizee hapo polisi ndio uingize hawa graduate vijana wanaokesha kubet, kutafuta video za connection mitandaoni, uchawa, kuuza mirungi, kutwa kushabikia Simba na Yanga?
Inaelekea wewe waalimu wako walifanya party baada ya kumaliza masomo, pls una rush nini kusoma comments ili uelewe lengo la aliye comment, what's a rush kujibia,,acha upumbavu
 
Wapi palipoonesha umalaya ndio umesababisha kifo hapo.

Then kuwa malaya au kuwa na huyo mwanamke sio kosa kisheria labda tusubiri maelezo ila bado hakuna connection bado ya huyo mwanamke na mauaji.
Connection ipo Kwani mwanamke anapoonekana mahali kama Star anakuwa na connection nyingi hasa wanaompa vihela vya chips, hivyo akija mtu mwenye constant income anaonekana threat Kwa Vijana na chuki kubwa hujengeka, hao Vijana ni rahisi Sana kukamatika, kufanya kazi village inahitaji umakini sana!! Huko Rombo walimu wanauliwa pia
 
Naungana na wewe
 
[emoji2][emoji2] Binti zuchu wa tarime kazua mambo, Hadi Dr kafa vibaya.
Ila msomi unashinswaje kusoma hulka ya jamii uliyopo ili uepuke majanga jamani.Huko tarime kunasifika Kwa kugechana Sasa wewe unanunua Malaya ka sikujitaftia majanga Nini?

Huko ni bora ugonge mke wa mtu na si hawara wa mtu, haya majitu ni mafala sana.
 
Vipi ile issue ya dada yule wa Benki aliyeuwawa ulikamilisha Bw. Afande ?
 

Lakini hao graduates wakija mnawapa u-ofisa bila hata mtihani wa IQ!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…