Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Yule banker aliyeuawa Kibaha uliingia chimbo lkn taarifa ukabaki nayo.Naingia chimbo hadi kesho asubuhi watashikwa wote kwasababu nataka kuisaidia Polisi.
Ni hivi Dokta itakuwa alikuwa anamgonga mke wa mtu. Wauaji wakaamua kumtumia huyo bar maid kumsogeza dokta wakamcharaza mna kumpigwaa miti kwa hiari na kuchana nguo maksudi kusingiziwa kabakwa
Unatska nikuamini mkuu?