Waliomuua Dkt. Isack wa Nyamongo HC wakamatwe haraka

Yule banker aliyeuawa Kibaha uliingia chimbo lkn taarifa ukabaki nayo.

Unatska nikuamini mkuu?
 
Binafsi nilikua ninafanya kazi wilaya moja mkoani mara vijijini

Jamii ya hawa watu kwa watumishi hasa hasa idara ya afya ni mtihani sna

Wana uelewa mdogo sna juu ya taratibu ma maofisi ya watu

Hua wanajenga chuki zakipumbavu sna

Binafsi niliona hakuna hajaa yakubakia kule kijijin nikaondoka zangu
 
And this is real, eti wanakuondoa uraia😁 na kukuvika uzalendo. Jeshi la nguvu nyingi akili kibaba
 
Vijana acheni umalaya Dr una mke unahamgaika na baamedi you don't care even about ur health, majanga mengine yakujitakia licha ya usomi shule haijamkomboa
Hayo mambo wala hayahusiani na umri,wala elimu ya mtu,wala marital status ya mtu.Waliofanya ujinga huo ndio wapumbavu.Huwezi ukaua mtu eti kisa mapenzi??
 
mambo matatu yanayoweza kukuua ukiwa tarime.

1. Mapenzi na mke wa MTU.
2. Wizi na unyang'anyi
3. Dhuluma na kuchomeana madili kwa polisi.

Hii case ya dr iko kwenye hiyo cycle.
 
Unaweza kuta huyo zuchu ndiye bint mrembo kuliko wote hapo nyamongo!, pia unaweza kuta yupo mpumbavu mmoja aliyemtamani huyo bint lakini hakuwa na kipato cha kueleweka hivyo kuelekea kuwapanga wahuni wenzake, hayo majitu malimbukeni sana ya wanawake duniani kote.
 
Jeshi la polisi halidumazwi na umri wa askari, bali mafunzo yasiyojali wakati (maendeleo) wala, utaalamu, teknolojia na weledi wa hiyo kada. Hivyo hata hao watoto unaowalenga katika mafunzo ya Sasa watakuwa cabbage in, gabbage out yaani unawapa mafunzo ya hovyo, utendaji Utakuwa wa hovyo.
 
Umeanza vizuri, ila mwishoni umeharibu.

Hao graduate unaowasema, ndio hawa hawa tulio nao mtaani wanaoandika xaxa badala ya sasa?!

Bora kuwaongezea hao experienced huku ukiweka graduate taratibu, field hakuko hivyo kama movie za Hollywood na graduates wetu wengi ni mzigo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hawa vijana wa 25-30 ukiwapeleka huko ni kama umempiga teke chura, wengi watazamia wachache watarudi, wengine watarudi na iPhone na mademu wa kizungu, wachache wenye weledi kidogo mfumo utawabana hawatakua na jipya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho kigezo Cha Jkt ni kuwapunguza kwenye usaili...

Maana naona kama hakina mashiko......

Ingekua marekani mzee mbona siku 3 ni nyingi zingejulikana mbivu na mbichi...
Na marekani kwenyewe wahalifu nao wame advance, ndio maana na wao kuna upelelezi unachukua muda mrefu..na kuna kesi zingine hazina ushahidi miaka mpaka zinakufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fresh graduates wasiombe rushwa?!!!!!!!!!!!!!

Vijana wenyewe kina Sabaya, Makonda, Ally Hapi, PolePole et all.


Una mawazo mazuri, ila kwa upande wa vijana kuwapa usukani..kawaze upya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo mambo wala hayahusiani na umri,wala elimu ya mtu,wala marital status ya mtu.Waliofanya ujinga huo ndio wapumbavu.Huwezi ukaua mtu eti kisa mapenzi??
Aliyeuliwa naye hajitambui asingekuwa Malaya asingeuliwa kabla ya kulaumu wauaji ilaumuni pia tabia mbaya ya huyo kijana
 
[emoji28][emoji28],eti xaxa, kuna dogo kamaliza chuo mwaka jana nikasema ngoja nimpime uelewa wake nikamuuliza Waziri mkuu wa UK ni nani wakati huo kuna sekeseke la Boris Johnson kwahio alikuwa anatajwa sana,akasema hajui,hafuatilii hayo mambo anafuatilia forex tu,,nikamuuliza mkuu wa mkoa anapatikanaje?akasema si mambo ya Uchaguzi mkuu hayo sijui nini,nikamwambia yule anateuliwa na Raisi,akashangaa eti nilikuwa Sijui kama anateuliwa na raisi,nikajua tuna shida sana sasahivi
 
Sasa mtu kama huyo ukimpa data ataweza kuzichambua na kupata insight ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaelewa point ya huyo mwananchi ni nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…