Waliomuua Dkt. Isack wa Nyamongo HC wakamatwe haraka

Ndiyo maana hujawa na uwezo maana ungeishia kufanya ujinga mtupu!
 
siku nyingine ukienda huko Kurya land tuchukulie picha kadhaa, hawa watu wangetengwa hawana ustaarabu wa Kitanzania, nasikia bangi ni kama chakula huko.
 
Fresh graduates wasiombe rushwa?!!!!!!!!!!!!!

Vijana wenyewe kina Sabaya, Makonda, Ally Hapi, PolePole et all.


Una mawazo mazuri, ila kwa upande wa vijana kuwapa usukani..kawaze upya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani vijana tuliokua nao ji wa ccm tu?au ni politicians tu?,tuna vijana wengi wapo safi, educated ila royal families zinawatupa nje, vijana hawa watakuwa well trained na kuwa msingi bora kuwa Tanzania bila rushwa inawezekana
 
I am positive kuwa vijana hawa wataifanya Tanzania kuwa zero corruption, why Botswana waweze sisi tushindwe?
 
Nashangazwa na mtu ambae anacheka kwenye habari ya kuhuzunisha kama hii 👨
 
Hivi unaijua gharama ya kumpeleka mwanafunzi mmoja kusoma abroad?
 
Hakuna watu wapumbavu Kama Hawa police wa kibongo yaani mwanangu akija kuwa police Bora kwangu asikanyage Baba angu mzazi ameuawa then akawekwa juu Ili ionekane kuwa amejinyonga police anasema uchunguzi wa kidaktari unasema marehemu alikosa hewa ndo ikapelekea kufariki,
Unamuuliza mtu akibanwa na mto hukosa hewa pia hupelekea kufariki mbili mtu akishikwa kwenye Koo hukosa hewa hupelekea kufariki na hyo kamba Sasa kukosa hewa kumetokeaje Hana majibu Zaid ya kusema Mimi sijui muulizeni doctor
Unamuuliza afande wakati unafika eneo la tukio ni kitu Gani ulichokiona ukaamini marehemu amejinyonga na ukaamuru mwili upelekwe mochwari?? Je ulikuta kiti alichopandia?? Je ulihakikisha kwamba nyao pale chini zilikuwa za marehemu tu na hakukua na nyao za watu wengne?? Anasema Mimi sikufika eneo la tukio unamuuliza Sasa hukufika eneo la tukio ilikuaje umepewa upelelezi wa kesi hii?? Hana majibu??
 
Kumbe ukimkosea mkurya Ila kabla hujamkosea ni watu wapeace Sana Tena hawataki kuonewa
 
Samahani mkuu nazungumzia jeshi la polisi la nchi Gani?
 
uzi umejaa maswali mengi sana bila majibu sasa demu kama alikuwa wa mtu mbona tena wamembaka, na by the way kama demu ni baamedi ina maana si chawote kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake sasa wivu wa nini tena, kingine mademu wa tarime si kama midume tu , na daktari alikua na mke mzuri kama picha zinavyoonyesha , duh ila aisee haya bana nyege kitu kibaya sana, kwahiyo analewa anaendesha pikipiki tena usiku, graduate wa nchi hiyo ni majanga makubwa. Mademu wenyewe wa tarime wamekeketwa karibia wote sasa unajiuliza but why?
 
all above 40yrs wastaafu, ingiza graduates wengi wa 25yrs to 30yrs
mwanzo wa coment nilikua naona kama mtu uliye na akili sana ila ulipofika hapa nikaconlude kua wewe na genta a.k.a charismatic fella the entertainer wote akili zenu ni fupi sana.
 
siku nyingine ukienda huko Kurya land tuchukulie picha kadhaa, hawa watu wangetengwa hawana ustaarabu wa Kitanzania, nasikia bangi ni kama chakula huko.
Mbona wale wa Geita waliomuua Milembe mtumishi wa GGM hawajatengwa?

Mbona walioua mtumishi wa benki Kibaha maili moja hawajatengwa?

Enzi zile hawa wauaji wangejumuishwa kwa WASIOJULIKANA.
 
Niliishi Lindi kwa miaka 10 sikuwahi kusikia mauaji ya kikatili ya namna hii
Kwa ujumla mikoa ya ukanda wa Pwani ukiondoa Dar es Salaam kutokana na mchanganyiko wa makabila mbalimbali ni mikoa ambao si rahisi kusikia matukio ya mauaji kama ilivyo mikoa ya kanda ya Ziwa na mikoa ya nyanda za juu kusini
 
Dah!! Binti "Zuchu"...

Inasikitisha sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…