Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Ooh vizuri sana, kumbe umeishi kwetu huko. Wana hasira sana za asili. Kanda Maalumu, tena siku hizi matukio yamepungua sana.Najua besty nimezaliwa huko wazazi walikua huko...acha kabisa nimeondoka huko nikiwa drs la pili..so ishu za huko nazijua vzr sana..kupigana daily
Ee aisee nimeishi Tarime mjini national housing pale..sema nimepasahau kabisaaOoh vizuri sana, kumbe umeishi kwetu huko. Wana hasira sana za asili. Kanda Maalumu, tena siku hizi matukio yamepungua sana.
Aghao bhoke...Kwetu kabisa huko, wauwaji watafutwe ili haki itendeke kwa Daktari wa watu.
Hata awe na kosa gani, si kumuua kinyama hivyo. Ndugu zangu hawa mmmh!!!
Sasa unataka kuniacha kwenye mataa Ushimen πππππAghao bhoke...
Kwa taarifa zisizo rasmi, inasemekana kija alikua anatokea maeneo ya Kerende akielekea Nyamongo akiwa na mpenzi wake kwenye pikipiki (alimpakia). Njiani wakakutana na watu ambapo walimbaka yule mwanamke na kisha kumkatakata kijana tabibu.
Huyo Dr ni wawapi?Hilo jina kama nalifahamuNawasalimu wote wakubwa kwa wadogo,
Ni usiku wa kuamkia leo nimepokea taarifa kutoka kwa watu wangu wa karibu kua kuna dakitari ameuawa kwa kukatwa katwa mapanga katika mji wa Nyamongo wilaya ya Tarime.
Dakitari huyo kijana mdogo kabisa aliyekuwa akifanya kazi katika kituo cha Afya Nyamongo(Nyamongo HC) amekutwa na umauti huo wakati akiwa anaendesha pikipiki yake kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine katika mji huo.
Bado chanzo cha mauaji hayo hakijajulikana, na wala sina taarifa yoyote kuhusiana na kukamatwa kwa wahusika wa tukio hilo.
Ni aibu kubwa Kwa mji huo kumuua mtumishi tena kwa kumkata kata kwa mapanga wakati huu ambao kumekua na uhaba wa watumishi hasa kada ya afya katika maeneo ya pembezoni ya nchi, je ni nani atakubali kwenda kufanya kazi katika eneo kama hilo ambalo linaonekana si salama tena kwa watumishi na ukizingatia ajira za TAMISEMI zimetangazwa juzi,
Haijalishi sababu ya kifo itakuwa nini lakini huu ni ukatili wa hali ya juu
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu Dr Isack Sima Mahala pema peponi, Amina
Asante sana Ushimen wewe unaishi tu huko, ama ni mwenyeji wa huko? Usinicheke lakini, Nyamongo nimewahi kwenda, mara moja tu ππππKaribu Nyamwaga...π
wanasema ni mtu wa Singida mkuuHuyo Dr ni wawapi?Hilo jina kama nalifahamu
Lindi kuko shwari hata usiku wa manage unatembeaNiliishi Lindi kwa miaka 10 sikuwahi kusikia mauaji ya kikatili ya namna hii
Kwann?Itakuwa mambo ya mapenzi
DuhNimeona twitter wameandika kuwa wamemuua kwa lengo la kumuibia pikipiki.
Hao Kaka zako bila kuona damu za watu hawana amaniKwetu kabisa huko, wauwaji watafutwe ili haki itendeke kwa Daktari wa watu.
Hata awe na kosa gani, si kumuua kinyama hivyo. Ndugu zangu hawa mmmh!!!
Wana hasira Sana . We fikiria mtu unagombana nae leo unampiga anakutafuta na panga wiki nzima iki akutoe damu?Dah! Maeneo ya huko yanaonekana mapanga nje nje! Ukimzingua mtu kidogo tu, anakuvizia njiani na kukumaliza.