Waliomuua Dkt. Isack wa Nyamongo HC wakamatwe haraka

Waliomuua Dkt. Isack wa Nyamongo HC wakamatwe haraka

Huyu kijana nilimfahamu toka 2020.
Anaitwa ISACK DANIEL SIMA.
Ni Mnyaturu kwa kabila, mzaliwa wa Kijiji cha Kaselya wilaya ya Iramba.
Alizaliwa 1993 akasomea Shahada ya udaktari katika chuo cha st. Francis.
Ameacha Mke na mtoto mmoja.

Alikua ndo mtoto tegemezi katika familia yao.

Tukio limetokea Jana saa 5 usiku akiwa kwenye pikipiki na Mdada mmoja ambaye amebakwa na kulazwa hospital.

Waharifu wakaamua kumcharanga mapanga kijana wetu.

Mungu wangu tunaomba uoneshe hasira yako juu ya hawa shetani.

View attachment 2609933View attachment 2609934View attachment 2609935
shukran sana kwa taarifa zaidi
 
Kuna mtaa ulkua unaitwa makaranga kpnd hicho xjui kwa sasa, kuona vijana wanatembea na kiganja cha binadamu ilkua kawaida sana. Kuna siku npo zangu Malecho na pisi yangu ya kikurya nataka kuchakata mbususu mara wakapita jamaa wanatangaza vita mwenzao kakatwa mkono halafu wakawa wanazunguka mtaani wanauonyesha. Hisia zote za kuchakata ziliishia hapohapo nikampa mkono wa kwaheri bhoke wangu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Alikua ndo mtoto tegemezi katika familia yao.
Mtoto tegemewa au Mtoto tegemezi ? TEGEMEZI na anafanya kazi ya udaktari, ameoa na ana mtoto ? Sijaelewa kwani wale wategemezi wa Serikali wanaosema umri usiwe 18 uwe ni 21 ni wapi ?

Any ways RIP Marehemu Isack Mbele yako Nyuma YETU
 
Huyu kijana nilimfahamu toka 2020.
Anaitwa ISACK DANIEL SIMA.
Ni Mnyaturu kwa kabila, mzaliwa wa Kijiji cha Kaselya wilaya ya Iramba.
Alizaliwa 1993 akasomea Shahada ya udaktari katika chuo cha st. Francis.
Ameacha Mke na mtoto mmoja.

Alikua ndo mtoto tegemezi katika familia yao.

Tukio limetokea Jana saa 5 usiku akiwa kwenye pikipiki na Mdada mmoja ambaye amebakwa na kulazwa hospital.

Waharifu wakaamua kumcharanga mapanga kijana wetu.

Mungu wangu tunaomba uoneshe hasira yako juu ya hawa shetani.

View attachment 2609933View attachment 2609934View attachment 2609935
Kanda yenye washamba wengi sio ya kuishi
 
Huyo Dr itakuwa katembea na mke wa mtu nanyie vijana mnaopelekwa Kanda ya ziwa acheni umalaya oeni mtulie hii Kanda Ina watu wakatili
usipende kuhukumu bila kupata kiini cha tatizo,
kule hata ukipishana kauli na mtu na akakuahidi atakuonesha, anaweza kukuonesha kwa style hiyo ya kuchukua uhai wako,

kwakua tuko bega kwa bega na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, taarifa rasmi itapatikana tu

Usipende kuhukumu kila janga linalopita mbele yako, mengine ni historia tu
 
Tukio limetokea Jana saa 5 usiku akiwa kwenye pikipiki na Mdada mmoja ambaye amebakwa na kulazwa hospital.
Huyu mdada aliebakwa ambae alikua nae kwenye pekipiki hajajulikana ni Nani au alikua Nani yake inamaana hata jina lake haijajulikana mpaka sasa ?
 
usipende kuhukumu bila kupata kiini cha tatizo,
kule hata ukipishana kauli na mtu na akakuahidi atakuonesha, anaweza kukuonesha kwa style hiyo ya kuchukua uhai wako,

kwakua tuko bega kwa bega na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, taarifa rasmi itapatikana tu

Usipende kuhukumu kila janga linalopita mbele yako, mengine ni historia tu
Rafiki yangu alinusurika kufa kisa kuchaganyana watu huko akatonywa na kutoroka so kwangu Mimi hizo ni case kubwa hasa Kwa vijana though pia Kuna other factors nyingine hazikosekani.
Binafsi siwezi enda ishi ukanda wenye wajinga na washamba wanaoua watu wengine badala watafte hela
 
Nimeishi TARIME sana pamoja na ugomvi wao wa asili lakini hawawezi kukuvamia kama majambazi bila issue za kimapenzi,fedha au maumaji.Hii sababu haitoshi kuelezea chanzo cha kifo.
Kwa hio unataka kusema chanzo Cha mauaji ya daktari Isack ni nini mapenzi au fedha ? Maana kumbuka wameua wakabaka vile vile
 
Marehemu hawezi kusemwa vibaya . Nimeishi TARIME sana pamoja na ugomvi wao wa asili lakini hawawezi kukuvamia kama majambazi bila issue za kimapenzi,fedha au maumaji.Hii sababu haitoshi kuelezea chanzo cha kifo.
Ni kweli huko sababu kubwa Huwa mapenzi na wanawake wao wanapenda kushobokea wanaume wageni
 
Kwa hio ukanda huo kufa ni suala la kugusa tu ? Ndio maana kuna jamaa alisema hapa akafungua uzi anasema ukienda kuishi ukanda huo inabidi ununue kitu Cha Moto kabisa kujihami hao jamaa ni Chinja Chinja
Kule waahenzi wengi mno plus ushamba hata ukuwazidi vitu uko hatarini hakufai kabisa kule waweza kufa kabla ya siku zako
 
Back
Top Bottom