zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Siendi Mimi huko nikafanye nini kwa washambaKule waahenzi wengi mno plus ushamba hata ukuwazidi vitu uko hatarini hakufai kabisa kule waweza kufa kabla ya siku zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siendi Mimi huko nikafanye nini kwa washambaKule waahenzi wengi mno plus ushamba hata ukuwazidi vitu uko hatarini hakufai kabisa kule waweza kufa kabla ya siku zako
Atleast hapa umeongea vizuri mpendwa,Rafiki yangu alinusurika kufa kisa kuchaganyana watu huko akatonywa na kutoroka so kwangu Mimi hizo ni case kubwa hasa Kwa vijana though pia Kuna other factors nyingine hazikosekani.
Binafsi siwezi enda ishi ukanda wenye wajinga na washamba wanaoua watu wengine badala watafte hela
Kwani ukijipenda ukanunua bodaboda ya kwendea kazini pia ni usharobaro ? Watu wa kazi gani ?jamani huko msipeleke masharobaro wote watakufa pelekeni watu wa kazi
Alimchukua mke wako ? Una hakika na unachokisema ?Ni aibu mtumishi wa umma kuchukua wake za watu.
Post haiuhusiani na mada
Kule ni sehemu za migodi(kuna pesa), asilimia kubwa ya vijana wana cha moto(nina ushahidi), ukifanya makosa na kutegemea kua mguu wa bata utakusaidia , kwa kule umekwisha na watakushangazaKwa hio ukanda huo kufa ni suala la kugusa tu ? Ndio maana kuna jamaa alisema hapa akafungua uzi anasema ukienda kuishi ukanda huo inabidi ununue kitu Cha Moto kabisa kujihami hao jamaa ni Chinja Chinja
nimekuheshima mpaka nakujibuKwani ukijipenda ukanunua bodaboda ya kwendea kazini pia ni usharobaro ? Watu wa kazi gani ?
Kwa hio yule mleta uzi huu alikosea ?Cha msingi ninachodhani kwa kule, ni kuishi maisha yako na kupunguza mazoea na wenyeji wako
[emoji28][emoji28][emoji28] hatari watu wanaua daktari anayetegemewa na kasomeshwa Kwa hela nyingiSiendi Mimi huko nikafanye nini kwa washamba
Kwa vyovyote vile sababu ya kupora pikipiki tu siiafiki hata kidogo,sababu ya wizi na ujambazi kwa TARIME sikubali hatakidogo .Ingekuwa KIGOMA ningekubali ni ujambazi na uporaji lakini kwa TARIME kubwa kuliko yote ni mapenzi.Kwa hio unataka kusema chanzo Cha mauaji ya daktari Isack ni nini mapenzi au fedha ? Maana kumbuka wameua wakabaka vile vile
Yaan unamaanisha usisaidie watu wowote especially wanawake jiweke nao mbali sana usiwazoee na wasikuzoee au sio ? Hapo sawa na Mimi hadi kuona nimehoji na kukuuliza jua nimekuheshimu kweli heshima yako mkuunimekuheshima mpaka nakujibu
ni hivi shida sio kununua pikipiki shida inakuja kutaka kumpa lifti kila mwanamke na wanafunzi pia eneo la kazi usiwe una tabasamu tabasamu tu weka uso wa mbuzi yaani hadi wale wanaume wa kijijini wakikutana na wewe huko sokoni wanaona eeh huyu DAKTARI
Km issue ni mapenzi kwanini wakambaka yule mdada aliembeba na yule mdada alikua ni Nani kwake au ndio mazoea yamemponza ?Kwa vyovyote vile sababu ya kupora pikipiki tu siiafiki hata kidogo,sababu ya wizi na ujambazi kwa TARIME sikubali hatakidogo .Ingekuwa KIGOMA ningekubali ni ujambazi na uporaji lakini kwa TARIME kubwa kuliko yote ni mapenzi.
Daaah, taarifa zinasema pikipiki ilikuwa ya kazini siyo yake.Kwani ukijipenda ukanunua bodaboda ya kwendea kazini pia ni usharobaro ? Watu wa kazi gani ?
Wajinga sana jamaa amesotea miaka alafu wamempoteza ndani ya dakika 2, wakianza kuugua kwa kukosa huduma za afya kwa uhaba wa daktari lawama zote kwa Serikali, jingaz[emoji28][emoji28][emoji28] hatari watu wanaua daktari anayetegemewa na kasomeshwa Kwa hela nyingi
Hilo ni Jambo jema Ila pamoja na kwamba ni ya kazini lakini mtumiaji si alikua ni yeye,Daaah, taarifa zinasema pikipiki ilikuwa ya kazini siyo yake.
Sita kujibu tena maana mazingira ya TARIME huyajui vizuri. Wale watu wana roho za visasi hatari. Nikuulize kwanini huyo binti hakuuawa akaachwa?Km issue ni mapenzi kwanini wakambaka yule mdada aliembeba na yule mdada alikua ni Nani kwake au ndio mazoea yamemponza ?