Waliomuua Dkt. Isack wa Nyamongo HC wakamatwe haraka

Waliomuua Dkt. Isack wa Nyamongo HC wakamatwe haraka

Kwa hio yule mleta uzi huu alikosea ?
Eti mkuu Fortilo ni kweli hii
Mimi point yangu ni kwamba, usije ukafanya makosa ya wazi au ukahitilafiana na mtu kwa kigezo kua silaha itakusaidia, usijaribu

Watu wa kule wana ujasiri uliopitiliza, na hawajawahi kukubali kudhalilika(wanapenda kulipa kisasi), utashangaa hata silaha yako haitokua na msaada wale jamaa wakikutafuta

sitaki kuingilia uzi wa jamaa yangu lakini nachofahamu, karibia nusu ya aliowataja hapo mleta mada walikua ni wamiliki wa silaha tena kihalali kabisa, swali ni je ilipofika wakati wao silaha iliwasaidia..? jibu ni hapana

Ndiyo maana nikasema suala ni kupunguza mazoea na mahusiano yasiyo ya lazima na wenyeji wa kule, pia kuepusha migongano isiyo ya lazima
 
Atleast hapa umeongea vizuri mpendwa,

hata huyo rafiki yako kama hiyo ilikua tabia yake pengine huko alikoenda atakua aliendelea na alichokifanya huku na kukimbia matokeo yake yanaweza kwenda kutokea huko alikokimbilia,
hakuna sehemu ambayo mke au mume wa mtu hachepuki, hakuna sehemu ambayo demu au boyfriend wa mtu hachepuki,

isipokua kinachokuja kutofautisha hili ni adhabu zinazotolewa na wale wanaokua wamiliki dhidi ya watuhumiwa wao, nafikiri kuua ni adhabu ya mwisho kabisa,
To me mambo ya ngono ni kitu Cha kwanza kusababisha hayo mahuaji na kwanini huyo dada abakwe huko Kanda ya nyonyo Kuna ulimbukeni.
Nawaasa watu wanaenda huko kuwa makini sana
 
Napatikana kwa wingi sana kuanzia Kemakorere, Nyamwaga, Kerende, Nyamongo, Matongo hadi muambata wa mto Tigite mura...[emoji12]
Mimi sio mzaliwa wa huku mkuu, nasaka ugali tu...[emoji39]
Mimi napatikana Nyarero, Nyarwana, Kibasuka, Itiryo, Borega, Ganyange,Mriba, Kegonga
 
Hapo kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Uchunguzi uanzie hapo
 
Wale watu wanahitaji kustaarabika sana, wanaishi kizamani sana na Serikali inawadekeza na kuwaendekeza sana..

Wakianza kupotezwapotezwa kwa ujinga wao huu akili zitawakaa sawa na kuheshimiana..
 
Hatari sana kuna madogo walipigwa jembe za kichwa.Kuja kupata habari kumbe walikuwa wameenda kufatilia mchongo kwa mturuki-Tabora.Wakakutana na Mangosha na vijinzi vyao vya kubana ,jamaa wakawaungia kuwa watakua wezi wa ng'ombe tu.Watu wakanda ya ziwa wakiwa town kama mafala wakute chaka sasa.
Duuu! Sio mchezo. [emoji47][emoji47][emoji47]
 
Kukosekana ustaarabu ni janga.....

Ukiitwa kuwa WEWE una ustaarabu ujue wewe ni MTU MKAMILIFU.....

#SiempreJMT[emoji120]
 
Back
Top Bottom