Soga za mzawa
Senior Member
- Oct 27, 2017
- 159
- 186
Daaaah! Aisee R.I.P DR Inasikitisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora useme wewe, watu wamekazana kuita washamba makabila ya watu. Watu wa Mara huwa wana maugomvi yao ya koo na koo miaka nenda rudi, Ilikuwa hakuna kuingilia, mpaka ikaanzishwa Kanda maalumu.Marehemu hawezi kusemwa vibaya . Nimeishi TARIME sana pamoja na ugomvi wao wa asili lakini hawawezi kukuvamia kama majambazi bila issue za kimapenzi,fedha au maumaji.Hii sababu haitoshi kuelezea chanzo cha kifo.
DuuhhKwa taarifa zisizo rasmi, inasemekana kija alikua anatokea maeneo ya Kerende akielekea Nyamongo akiwa na mpenzi wake kwenye pikipiki (alimpakia). Njiani wakakutana na watu ambapo walimbaka yule mwanamke na kisha kumkatakata kijana tabibu.
Mkuu haya yote yalishafanyika, mpaka ukaanzishwa mkoa wa kipolisi Tarime-Rorya,Wale watu wanahitaji kustaarabika sana, wanaishi kizamani sana na Serikali inawadekeza na kuwaendekeza sana..
Wakianza kupotezwapotezwa kwa ujinga wao huu akili zitawakaa sawa na kuheshimiana..
Havoc[emoji22]What a Region with bunch of savages!
Na hata ubabe wa wale jamaa ni kwakua tu Eti wanatahiriwa kwa kisu bila ganzi hivyo kudhani hakuna mwanaume wa kuwadhuru au kuwazidi nguvu(wababe)Miye mwenyewe nimeenda mara moja tu, Mama alikuwa akinilinda balaa. Wasije wakaondoka na Antena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] toka hapo, sijakanyaga.
Haya maisha hayaa....kuna watu washamba sana....kubwa Mungu akikupa nguvu za mwili... na kuuweza ugomvi basi suluhisho ni KUKANDA vile wanavyokuja...km mikono mitupu na iwe hivyo...kama mapanga...basi mchezo unakuwa hivyohivyo [emoji1787][emoji1787]Na hata ubabe wa wale jamaa ni kwakua tu Eti wanatahiriwa kwa kisu bila ganzi hivyo kudhani hakuna mwanaume wa kuwadhuru au kuwazidi nguvu(wababe)
ingekua tamaduni zinaingiliwa nadhani wale walitakiwa waanze kwanza kwa kutahiriwa hospitali ili kuwaondolea mentality hiyo ya ubabe, [emoji3]
Na hata wanawake wa kule waliokeketwa wengi wao walikua wababe sana,walivyopunguza kukeketwa imesaidia sana kuwafanya kua wastaarabu wasio na makuu maana mwanaume kuishi nae ilibidi awe mkurya kindaki ndaki, yaani mbabe asiyeshindwa kirahisi
Kwa nini haya maeneo ya kwenu kuna mauaji ya ajabu ajabu na hovyo sana?Kwetu kabisa huko, wauwaji watafutwe ili haki itendeke kwa Daktari wa watu.
Hata awe na kosa gani, si kumuua kinyama hivyo. Ndugu zangu hawa mmmh!!!
Labda alimfahamu mmojawapo.Nimeona twitter wameandika kuwa wamemuua ktk lengo la kumuibia pikipiki.
Kuna harufu ya wivu wa mapenzi, huyo binti atasaidia kutambua ukweli.Huyu kijana nilimfahamu toka 2020.
Anaitwa ISACK DANIEL SIMA.
Ni Mnyaturu kwa kabila, mzaliwa wa Kijiji cha Kaselya wilaya ya Iramba.
Alizaliwa 1993 akasomea Shahada ya udaktari katika chuo cha st. Francis.
Ameacha Mke na mtoto mmoja.
Alikua ndo mtoto tegemezi katika familia yao.
Tukio limetokea Jana saa 5 usiku akiwa kwenye pikipiki na Mdada mmoja ambaye amebakwa na kulazwa hospital.
Waharifu wakaamua kumcharanga mapanga kijana wetu.
Mungu wangu tunaomba uoneshe hasira yako juu ya hawa shetani.
View attachment 2609933View attachment 2609934View attachment 2609935
Hapana utakuwa unachanganya na Geita Yoda kwa zamani sana, ilikuwa ni wao kwa wao. Hii naona ni kama wizi hao. Kuna makabila tofauti mengi sana, wanafanya kazi huko mpaka wanastaafu. Hawajawahi guswa, tusubiri uchunguzi.Kwa nini haya maeneo ya kwenu kuna mauaji ya ajabu ajabu na hovyo sana?
[emoji1787]Mgodini kifo mkononi , Yani ukiwa mgodini we jua tuu upo kwenye danger zone , watu wanaweza amua tuu kutafta viganja vyako kisa vina Alama Ya M , wapeleke Kwa kalumanzila
jamani huko msipeleke masharobaro wote watakufa pelekeni watu wa kazi
ni hivi shida sio wenyeji wa huko shida inakuja sisi watu wa dar na pwani tukienda sehemu tunajikuta sisi ndo sisi kumbe kuna maeneo mila au tamaduni huwa azibadiliki sasa wewe ushazoe huku dar kunigongea demu wangu nakuangalia tu kuna sehemu hamna hiyo watu wanaruka na wewe
comment ni ya ushauri tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Miye mwenyewe nimeenda mara moja tu, Mama alikuwa akinilinda balaa. Wasije wakaondoka na Antena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] toka hapo, sijakanyaga.
Kwa hio kilichomuua daktari ni mapenzi ?