Waliondamana Dar es Salaam kupinga mkataba wa bandari wakamatwa na polisi. Mratibu wa maandamano na wenzake 10 wanahojiwa na Polisi

Ndugu sio rahisi kihivyo hasa kwenye hii nchi ya majungu na unafiki na punyeto kwa vijana katika hali isiyomithirika
 
huu muda aliopoteza c angekuja niichakate jaman
 
Nimewakubali sana hawa. Hawakuangalia wingi wao, bali hoja zao. Hawakuangalia nani yupo pamoja nao bali wamesimama kwa ajili ya taifa lao.
Nimehudhunishwa sana kwa ajili yao, nimefarijiwa na uthubutu wao.
Mungu wao na azidi kuwaimarisha
 
Hao maelfu ya waandamanaji wako wapi? Wewe ulienda Posta?
 
mamy k. situlikubaliana jana humu kuwa leo tunakinukisha hadi magogoni nyumba nyeupe? afu kauli mbiu yetu yetu " bandari haitoki" (in mzee mpili's voice)
 
Ah wapi! Usikubali kufa kijinga. Damu watafukia na mchanga tu. Kisha kila mmoja na anaendelea na mishae zake.
Sawa mkuu,
Hatuna haja ya kubinafsisha bandari zetu
Inamaana pamoja na kuelimisha watu wetu na kuwa na rasilimali za Kila aina tunashindwa kusomesha manpower yetu na kununua technologies nakuweza kuziendesha wenyewe....

Uwezo upo hatuna haja ya kuingia mikataba ya ajab ajab uwezo tunao wa kuziendesha wenyewe...........

Tatizo LETU kama taifa πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ tumekua kama kuwaongoza MAPAKA wengi...Kila mtu ni mjanja.....Jaribu kufuga Paka 50 nyumbani kwako ndipo utakuja gundua UGUMU wa kuongoza MAPAKA
 
waliotimiza
haki ya kikatiba big up wanabahati nipo nje ya nchi

uasi unaanza kama chembe ya haradani
kuna.uasi.Wa kisiasa
uasi.Wa kidini
uasi.Wa kiuchumi
sasa tusifike huko
bandari haitochukuliwa
 
Siku Profesa Lipumba akiitisha maandamano, ndo kidooogo naweza hata kuchungulia dirishani, Yule anakaaga frontline Hadi kuna clip moja polisi anamwambia we Profesa mzima unaungana na hawa watu wasiosoma🀣🀣🀣
Wewe usimwangalie profesa bana. Kwani ungali under 18? Simama wewe kama wewe. What if profesa ameshalambishwa asali?

Usiitelekeze nchi yako. Ipiganie kufa na kupona. Ipambanie hadi tone la mwisho la damu yake! Isimamie imara, bila kuyumba. Ipatie kipaumbele. Nchi yako iwe moyoni mwako daima.

KauliMbiu: Bandari Haitoki!
 
TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ nzima ingekua ni jamii ya WASHASHI,

WASHASHI ni watu wote wajamii ya mkoa wa mara.....

Mshashi ni MWANAUME au mwanamke kutokea mkoa wa mara........

Wale hudai haki zao, hawakubali uonevu, ukimkosea lazima atalipiza, wana misimamo,

Nyingine mtaongezea.....
 
Uko sawa! kimsingi nakubaliana na wewe, natofautiana na wewe kuhatashisha maisha yako.
 
siku bado haijafika. Ikija kutokea siku ya maandamano halisi nchi itavurugika. Jambo ambalo sio zuri kabisa
 
Watz ni watu wa ajabu sana yaani kwa jinsi mitandao ya kijamii ilivyo kuwa imechachama kupinga mkataba wa bandari ungeweza kusema kuwa wenda ndo mwisho wa utawala wa Sa100 , lakini leo hii mmeambiwa muandamane ili kuonesha hizo hisia zenu kama mitandaoni. cha kushangaza wote mmeingia mitini.

Kuanzia sasa kama unajijua hukutokea kwenye maandamano leo acha kushinda humu unatujazia page za jf kuukosoa mkataba huo kwa sababu utakuwa unatupigia kelele.

Watu wote mlio kuwa mna mwaga povu humu juu ya huu mkataba alafu mkashindwa kutokea kwenye maandamano ni mbwa waoga na wanafiki wakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…