BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Pongezi pia kwa jeshi la polisi hawa watu hawakupigwa hata kofi, hii imenishangaza sana.
Usimchekelee huyo JINI CHEKETU HIMARS[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nawe hukuandamana lakini unashadadia,Nimewakubali sana hawa. Yaani hawa ndiyo pekee walioguswa na hili jambo, wengine wote wala hata haliwahusu. Ndiyo maana nasisitiza hiyo nchi ni bora iuzwe yote tu. Mang'ombe yanayoishi humu wala hayana kazi nayo, bila kuwauzia wanaoihitaji itaishia kuchakaa tu..
Unaota mkuu.Japo maandamano kuhusiana na bandari yalizuiliwa. Hawa vijana wamevunja mwiko na kuitoa nchi kwenye usingizi mzito. Wameichokoza na kufunga CCM bao la kisigino.
Hii hoja, nadhani inajibiwa na hii hoja(mfano).👇👇Muañdaa mabango hayupo amewaachià wabebaji!
Bado udikteta upo Tanzania.Nimewakubali sana hawa. Yaani hawa ndiyo pekee walioguswa na hili jambo, wengine wote wala hata haliwahusu. Ndiyo maana nasisitiza hiyo nchi ni bora iuzwe yote tu. Mang'ombe yanayoishi humu wala hayana kazi nayo, bila kuwauzia wanaoihitaji itaishia kuchakaa tu..
Kama hukujumuika kaa kimya msalitiHakuna maandamano hapo yaani watanzania ni misukule aisee
Wapumbavu mpo wengi sana bongolandila waliofadhili hayo maandamano wanaumia sana huko waliko
Kama hukujumuika, funga bakuli lakoMaandamano uchwara ,angalia huko Tripoli ,Cairo na Benghaz watu wamechafukwa wameshawahi kutoa mpaka marais madarakani.
#KataaMaandamano #MaandamanoNiUhalifu
Hata huko walianza kama hawa mwanzo mwema kwakweli.Maandamano uchwara ,angalia huko Tripoli ,Cairo na Benghaz watu wamechafukwa wameshawahi kutoa mpaka marais madarakani.
#KataaMaandamano #MaandamanoNiUhalifu
Hongera kwao,hofu ya kipindi Cha jiwe imepinguaJapo maandamano kuhusiana na bandari yalizuiliwa. Hawa vijana wamevunja mwiko na kuitoa nchi kwenye usingizi mzito. Wameichokoza na kufunga CCM bao la kisigino.
Vijana hawajavunja mwiko, hawajafikia hata robo ya robo ya maandamano yaliyokuwa yanafanywa na CUF miaka ya 2000. Kipindi hicho jeshi la polisi likiongozwa na IGP mbabe Sana bwana Mahita.Japo maandamano kuhusiana na bandari yalizuiliwa. Hawa vijana wamevunja mwiko na kuitoa nchi kwenye usingizi mzito. Wameichokoza na kufunga CCM bao la kisigino.