Waliondamana Dar es Salaam kupinga mkataba wa bandari wakamatwa na polisi. Mratibu wa maandamano na wenzake 10 wanahojiwa na Polisi

Waliondamana Dar es Salaam kupinga mkataba wa bandari wakamatwa na polisi. Mratibu wa maandamano na wenzake 10 wanahojiwa na Polisi

Nimewakubali sana hawa. Yaani hawa ndiyo pekee walioguswa na hili jambo, wengine wote wala hata haliwahusu. Ndiyo maana nasisitiza hiyo nchi ni bora iuzwe yote tu. Mang'ombe yanayoishi humu wala hayana kazi nayo, bila kuwauzia wanaoihitaji itaishia kuchakaa tu..
 
Nawe hukuandamana lakini unashadadia,
Utazani hujapenda uwekezaji was Dp world
 
Maandamano uchwara ,angalia huko Tripoli ,Cairo na Benghaz watu wamechafukwa wameshawahi kutoa mpaka marais madarakani.

#KataaMaandamano #MaandamanoNiUhalifu
 
Mangekinambi aliwashauri hamkusikia. Aliapa hatarudia makosa. Mwenzenu aliwekeza millions kuhamasisha watu waandamane akajikuta mwenyewe na rafiki zake Marekani😂 Watanzania wako bize kupambania ugali hawajabanwa shingo wakashindwa kupumua🤨🤨
 
Muañdaa mabango hayupo amewaachià wabebaji!
Hii hoja, nadhani inajibiwa na hii hoja(mfano).👇👇

1687232884891.png
 
Japo maandamano kuhusiana na bandari yalizuiliwa. Hawa vijana wamevunja mwiko na kuitoa nchi kwenye usingizi mzito. Wameichokoza na kufunga CCM bao la kisigino.

Vijana hawajavunja mwiko, hawajafikia hata robo ya robo ya maandamano yaliyokuwa yanafanywa na CUF miaka ya 2000. Kipindi hicho jeshi la polisi likiongozwa na IGP mbabe Sana bwana Mahita.
Lakini pia CHADEMA ya Dr Slaa ilikuwa ya Moto Sana kwa maandamano. So hakuna mwiko Wala upawa uliovunjwa.
CCM ili kuitikisa kidogo wahitajika watu zaidi ya 50,000 kuingia barabarani katika jiji kama la Dar na sio watu 10.
Watanzania tutaendelea kuendesha siasa na mambo yetu kwa hisani na huruma ya raisi until we change our mindsets.
 
Back
Top Bottom