Watanzania ni kama Makamanda wa Jeshi, wao kazi yao kuongoza wenzao ila hawaendi FrontMkuu na wee ulitakiwa uwe frontline [emoji1]
Ova
Kama simu yake haipatikani ina maana katekwa ghafla kabla ya kufika mnazi mmojaWewe unaandamana Kwa Ajili ya nini hasa? 😂😂
Sijafungua hiyo video ila huyo askari hapo mashaallah!!Nguvu ya Umma ijitokeze kwa namna zote kupinga maeneo ya Tanganyika kugeuzwa makoloni ya mabeberu
19 June 2023
Dar es Salaam, Tanzania
Vijana walioandamana jijini Dar es Salaam kupinga mkataba wa Bandari eneo la Mnazi Moja wame kamatwa na jeshi la polisi
Ndo maana wanakufa maskini, nchi imejaa wapumbavu sana hii, maanadamo ya amani halafu wanazuia ili iweje?
Acha utoto wako hapa jf sio facebookDeus Soka kijana ambaye amekubali kutumika na wanaharakati na wanasiasa bila kujua athari zake kwa kuhamasisha maandamano leo jumatatu hajaonekana kwenye maandamano hayo na matokeo yake walioingia mkenge wamenaswa na sasa familia na ndugu wanakaa vikao vya kwenda kuwanasua.
Kibaya zaidi wanaowatuma wamekaa maofisin wanaandika maandiko ya kuomba hela kwa wazungu ili kuendelea kuhamasisha ujinga nchini ilhali wao na familia zao maisha yanaenda.
Watanzania tubadilike, hamtamuona mtoto wa Mbowe wala Tundu lissu wala Maria Sarungi.
Sasa hela ya kula na familia mnakwenda kuitumia kama nauli ya kwenda na kurudi polisi kila siku.
Hiyo ndio concept ya Poverty Circle.
Dada maria yupo mkuu 😃😃Hahahaha hahahaha keyboard warriors sio kwamba twende polisi tukamkomboe mwenzetu?
Mkuu vijana wa enzi ya Nyerere na Mwinyi walikuwa jasiri, waliandamana hata watoto wa shule walikuwa wanaandamana;Tukiondoa uoga, kujipendekeza na unafiki,tunaweza kuionesha serikali kuwa Tanzania hii siyo ile ya Nyerere...
Na pale ndo viongozi walizidi kutudharau, hakuna kiongozi anayeheshimu watu waoga na wanafiki.Tanzania sio nchi ya kuamini watu, Watanzania ni waoga sana,
Hatujiamini
Tungekuwa twajiamini tungeanza maandamano tokea Magu yupo madarakani.
Ila yalipotangazwa maandamano nilifika posta pako kimya sana kuliko hata Jumapili