Waliong'ara ktk nafasi zao kama Jerry Silaa, Paul Makonda kwanini huondolewa

Waliong'ara ktk nafasi zao kama Jerry Silaa, Paul Makonda kwanini huondolewa

13 July 2024

MWABUKUSI AIVAA CCM ATOA USHAURI KWA MPINA


View: https://m.youtube.com/watch?v=YzKoY3OkiUQ

CCM inavuruga na kuwangoa meno, angalia jinsi hoja ya Mpina nzuri ....lakini hautakiwi kufikiri bali unapewa maelekezo na hawaamini katika mawazo mazuri ....ni desturi yao chama kongwe kulazimisha kufikiri kwa niaba ya wanachama ... angalia Job Ndugai naye ....
 
Ni nini kinasababisha Waliongara ktk nafasi zao kama Jerry Silaa, Paul Makonda kwanini huondolewa

Tuliona aluyekuwa waziri wa ardhi Jerry Silaa akifanya kazi vizuri na kutoa elimu kwa umma juu ya masuala ya umiliki ardhi, usimamizi wa mirathi n.k buree kwa raia kiasi wananchi

Kutokana na aina ya utendaji kazi wa Jerry Silaa raia wa kawaida wakaelewa somo la kujikinga na matapeli, mawakili uchwara na wasimamizi wa mirathi wanaopitilliza mamlaka waliyoaminiwa.
View attachment 3048842

Alitekuwa Katibu mwenezi elimu na mafunzo wa chama dola kongwe CCM Paul Makonda naye alisaidia wananchi kupata haki yao kutokana na mifumo ya haki kushindwa kuwapa wananchi haki kwa wakati kupitia serikali ya mitaa, wilaya, mikoa hata serikali kuu lakini naye ameondolewa.
View attachment 3048846
Je, kwa Tanzania mtu ukifanikiwa kuchapa kazi vizuri lazima uondolewe.

Freeman Mbowe naye kinara wa mfumo wa siasa za vyama vingi naye anasakamwa kwa kazi nzuri kuhakikisha upinzani unakuwa na nafasi ya kufanya watawala wajisajihishe naye anasakamwa.
View attachment 3048849
Utamaduni huu wa kupiga vita wachapa kazi umetokea wapi ? Na ni kwa sababu gani.
kwa huko africa kuna kitu kinaitwa "ZIDISHA UJUZI KAZINI UFUKUZWE KAZI" Yaani ni hivi huenda walikua wanagusa maslahi ya mabwenyenye ndio maana wanafanyiwa Cross Multiplication
 
Back
Top Bottom