Waliong'ara ktk nafasi zao kama Jerry Silaa, Paul Makonda kwanini huondolewa

13 July 2024

MWABUKUSI AIVAA CCM ATOA USHAURI KWA MPINA


View: https://m.youtube.com/watch?v=YzKoY3OkiUQ
CCM inavuruga na kuwangoa meno, angalia jinsi hoja ya Mpina nzuri ....lakini hautakiwi kufikiri bali unapewa maelekezo na hawaamini katika mawazo mazuri ....ni desturi yao chama kongwe kulazimisha kufikiri kwa niaba ya wanachama ... angalia Job Ndugai naye ....
 
kwa huko africa kuna kitu kinaitwa "ZIDISHA UJUZI KAZINI UFUKUZWE KAZI" Yaani ni hivi huenda walikua wanagusa maslahi ya mabwenyenye ndio maana wanafanyiwa Cross Multiplication
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…