Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Walioolewa au kuoa kwa mahari ya debe la mkaa, mahindi, mchele, pumba za kuku, sahani moja ya chipsi n.k au kwa mifugo kama kuku2, mbuzi 1, bata 3 n.k au kwa malikauli, njooni mtupe uzoefu sisi vijana. Wengine tunashindwa kuoa/kuolewa kutokana na kuogopa ukubwa wa mahari.
Karibuni.
Karibuni.