Marcy
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 2,430
- 5,910
Kuna mbwa wakališ¤£š¤£Geti la nyumbani kwenuš
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mbwa wakališ¤£š¤£Geti la nyumbani kwenuš
Mchana mbwa wapo bandaniš š acha kuzuia wageni hasa wazee wako.Kuna mbwa wakališ¤£š¤£
Wazee wenyewe sasa puff dad akasomeMchana mbwa wapo bandaniš š acha kuzuia wageni hasa wazee wako.
Hatujafikia viwango vya pdiddy, uwe na huruma na wazeešWazee wenyewe sasa puff dad akasome
Rachel ni mzuri sana lakini ndiyo vile kunguru hafugiki.Ni yule aliyekuambia anaitwa Rachel, au Angel! Hebu nyoosha maelezo kwanza.
SawaHatujafikia viwango vya pdiddy, uwe na huruma na wazeeš
Hivi haya maneno huwa mnayatoa wapi? Sheria zipi? Sema Uchumi haumruhusu tusio jambo baya, na wala sio jambo jipya gentleman..
ni jambo la kawaida kabisa na linaweza likawa na Neema na Baraka za Mungu ndani yake na ukaishia kua na familia nzuri, ya mfano kwa jamii na ya amani sana humu duniani.
Ilikua waka 2014 nikiwa mwanafunzi wa chuo kikuu, alikuwepo rafiki yangu mlokole akiishi bunju. Alikua ni gym trainer. Siku hiyo nilipata wasaha wa kwenda kumtembelea. Basi bana tukaenda kupata lunch bar na palikua na wahudumu warembo wengi sana.
Yelu rafiki yangu gym trainer mlokole akawa amemuelewa muhudumu moja kati ya waliokuja kutuhudumia.
My friend,
ilikua ni mwezi August 2014, na by December mwaka huo huo jamaa akafunga nae ndoa na binti akawa mlokole, muungwana akapata kazi Dubai, January 2015 akaenda zake Dubai na make wake hivi sasa wana watoto wa4, muungwana bado yupo Dubai anapiga kazi na kwasababu ya sheria ngumu za kazi za nchi hiyo, kwa sasa mkewe yupo nchini akiendelea na biashara huku akilea familia hiyo yenye furaha zaidi...
So, gentleman,
when God Says Yes, Nobody can say No. Yote yanawezekana kwa Imani š
Huyu anataka kumpiga busu kabisa... ššNyuki hakumbatiwi