Waliooa wahudumu wa bar waje hapa kutoa ushuhuda

Waliooa wahudumu wa bar waje hapa kutoa ushuhuda

Wazeee tuache utani mimi nimefolling love na muhudumu wa bar moja maarufu Hapa Dodoma jina naweka kapuni

Ila ukweli usemwe huyu muhudumu ananikosha sana wakuu namkubali mbaya

Wacha nijitoze wenda akatulia
Kama sio bikra huyo ni mke wa mtu
Jichanganye utajuta baadae
 
kuna kijiji huko chimbo chunya, wao zao ni kuoa wauza baa,...maajabu ya kile kijiji ni kuwa ukiwaangalia vizuri watoto wao wote wanafanana muonekano, yani ni kama ndugu wa baba au mama mmoja,...😂😂🤣
 
Wazeee tuache utani mimi nimefolling love na muhudumu wa bar moja maarufu Hapa Dodoma jina naweka kapuni.

Ila ukweli usemwe huyu muhudumu ananikosha sana wakuu namkubali mbaya.

Wacha nijitoze wenda akatulia
Umejinga na hela zako za guta Sasa unaenda kuzimaliza.

Hapo bar kapendwa na wangapi wenye mizigo ya kutosha kwenye account zao Mzee wangu?

Wewe ambaye hela ya Hennessy unaifikiria utaweza hiyo mikiki mikiki? Ilinikuta kama hiyo yako lakini Mimi nilipiga nikasepa. Mzee wangu jiandae kiakili na weka pembeni wivu.
 
MwNgu umejuaje ni kweli ni platinum grill karibu na chako nichako
Viwanja vyangu vile na vijua sana,Kuna myaki mmoja nahisi alihamishiwa Dom akiyokea dar alinyakulia Ngoma Moja ya counter akaipangia nyumba akaacha na kazi saizi wanafamilia kabisa na mwamba dar anafamilia 🤣🤣❤️❤️
 
Back
Top Bottom