Waliooa wahudumu wa bar waje hapa kutoa ushuhuda

Waliooa wahudumu wa bar waje hapa kutoa ushuhuda

Jamaa yangu m1 ameoa muhudumu wa bar. Pisi moja ya maana toka kondoa kama si Singida. Rangi ya maana haijui mikorogo. Inapata miaka zaidi ya mi4 sasa.
Kwa sasa wana watoto 2 na wanaishi fresh tu. Jamaa amefungua biashara dar na mkewe ndio anasimamia. Kwa kufupi wanaenda vizuri.
Ila kabla ya kumwoa wakati anapiga mzigo kimasihara, alikuwa akitutambia kwaamba demu anatoa tope.
Japo wapo kindoa kabisa nadhani jamaa bado anaendelea kula tope kama kawa. Si unajua mazoea hujenga tabia.
Babu mleta mada. Kazi kama umeielewa chukua tu ndugu yangu. Ila kama unapiga story na masela kitaa usimzungumzie negative zake...
Wanakujaga kutulia sababu ugumu wa maisha washaujua.
Oya mwanangu 😂😂😂mtu kaoa mhudumu wa baa anaetoa tope, mndewa kaona aoe kabisa ili ale tope vizuri 😂😂😂 Mzee wa kupambania
 
Kutokana na uhatarishi wa kazi yao, kukesha na vishauwishi vingi pamoja na ugumu wa maisha wengi huishia kuwa malaya.

Wengi pia hawawezi kubaki na msimamo hasa wakiona wenzao wanapiga ela kwa kulala na wateja.

Muulize ana muda gani hapo kazinia na alianzia wapi kabla ya hapo.

Kumbuka kuwa wewe sio wa kwanza kumuona na sio mwanaume pekee mwenye macho 😂.

Ila kila la kheri kaka
 
Kazi ya mtu sio utu wa mtu.

Kama anajielewa basi uhudumu wake wa baa ni shughuli ya kumuingizia kipato tu.

Kuna madada wa makanisani na misikitini lakini kutwa wanashinda nyumba za kulala wageni wakibadilisha mabwana.
Wangu nilimpata akiwa mhudumu wa bar..nikaoa, tuna watoto wawili, darasa la tano na mwingine miaka mitatu...sijawahi kujuta! Sina cha kumpa nitampa tu mimba ...
 
Wazeee tuache utani mimi nimefolling love na muhudumu wa bar moja maarufu Hapa Dodoma jina naweka kapuni

Ila ukweli usemwe huyu muhudumu ananikosha sana wakuu namkubali mbaya

Wacha nijitoze wenda akatulia
Yaan,
Upo kwenye HIGH VOLTAGE ⚡ yaan ni Jambo la muda lazima short itokee😊😅
Ni Kama vile kuvuka barabara ukiwa umefumba macho lazima ugongwe na magari/bajaji/ pikipiki.

Nikama kuvuta sigara kwenye kituo Cha mafuta au kwenye mitungi ya gesi..
 
Back
Top Bottom