Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sana!Hahahah kiukweli kapo bar moja I naitwa platinum grill iko karibu na chako ni chako
Yey anafanya bar ganiMkuu kama ni ADELA hata mimi namkubali sana
hio hio maarufu mkuuKwani wew unafanya bar gani mkuu,
Kbsaaaatulioa waimba kwaya tupite pemben
Nakuja dm tyajengehio hio maarufu mkuu
Kila siku unaenda kunywa ili umuone.....timiza haja ya moyo wako.Mkuu bint amenishika kwa kweli hela zangu inapotea pale kwa bar ile
Wew story yako ni kam yangu tu ila mm sikuwa mwanafunziBeba chombo weka ndani,mimi nilishaoa wawili wako poa tu,ila wa kwanza alikuwa na U.T.I sugu ilinisumbua sana mpaka kuisha
Siku ya kwanza namtaka nilimkurupukia kama nataka kumnunua akanigomea na mim ikabid nimuache tukanywa bia na kupiga story muda ulipofika nikasepa,ile kwenda mara nying pale ndo tukazoeana mpaka nikabeba chombo wakat huo mim nilkuwa mwanafunz
Wew story yako ni kam yangu tu ila mm sikuwa mwanafunzoBeba chombo weka ndani,mimi nilishaoa wawili wako poa tu,ila wa kwanza alikuwa na U.T.I sugu ilinisumbua sana mpaka kuisha
Siku ya kwanza namtaka nilimkurupukia kama nataka kumnunua akanigomea na mim ikabid nimuache tukanywa bia na kupiga story muda ulipofika nikasepa,ile kwenda mara nying pale ndo tukazoeana mpaka nikabeba chombo wakat huo mim nilkuwa mwanafunz
Una maana gani mkuuNyuki hakumbatiwi
waimba kwaya ni hatari sana. Wale watu wanakulana sijapata ona. Oh tumeweka kambi ya mazoezi ya album bagamoyo.... noma sana.tulioa waimba kwaya tupite pemben
chakula ya baba mtumishi.tulioa waimba kwaya tupite pemben
sio wangu mkuu itakuwa hao wenginewaimba kwaya ni hatari sana. Wale watu wanakulana sijapata ona. Oh tumeweka kambi ya mazoezi ya album bagamoyo.... noma sana.
wangu ni chakula changu mwenyewe mkuuchakula ya baba mtumishi.
SahihiKazi ya mtu sio utu wa mtu.
Kama anajielewa basi uhudumu wake wa baa ni shughuli ya kumuingizia kipato tu.
Kuna madada wa makanisani na misikitini lakini kutwa wanashinda nyumba za kulala wageni wakibadilisha mabwana.
Karibu sanaNakuja dm tyajenge