Wazeee tuache utani mm nimefolling love na muhudumu wa bar moja maarufu Hapa dodoma jina naweka kapuni
Ila ukweli usemwe huyu muhudumu ananikosha sna wakuu namkubali mbaya
Wacha nijitoze wenda aka tulia
sio jambo baya, na wala sio jambo jipya gentleman..
ni jambo la kawaida kabisa na linaweza likawa na Neema na Baraka za Mungu ndani yake na ukaishia kua na familia nzuri, ya mfano kwa jamii na ya amani sana humu duniani.
Ilikua waka 2014 nikiwa mwanafunzi wa chuo kikuu, alikuwepo rafiki yangu mlokole akiishi bunju. Alikua ni gym trainer. Siku hiyo nilipata wasaha wa kwenda kumtembelea. Basi bana tukaenda kupata lunch bar na palikua na wahudumu warembo wengi sana.
Yelu rafiki yangu gym trainer mlokole akawa amemuelewa muhudumu moja kati ya waliokuja kutuhudumia.
My friend,
ilikua ni mwezi August 2014, na by December mwaka huo huo jamaa akafunga nae ndoa na binti akawa mlokole, muungwana akapata kazi Dubai, January 2015 akaenda zake Dubai na make wake hivi sasa wana watoto wa4, muungwana bado yupo Dubai anapiga kazi na kwasababu ya sheria ngumu za kazi za nchi hiyo, kwa sasa mkewe yupo nchini akiendelea na biashara huku akilea familia hiyo yenye furaha zaidi...
So, gentleman,
when God Says Yes, Nobody can say No. Yote yanawezekana kwa Imani 🐒