Waliooa wahudumu wa bar waje hapa kutoa ushuhuda

Watu weng tuna tabia ya kujaji watu kwa makundi bira ya kuangalia mmoja mmoja
Leo hii mwanamke mwenye tatoo anachukuliwa maraya sabu tunawajaji kwa kundi zima ila ukwel ni kwamba wapo walochora tatoo na sio maraya wala hawana chembe
Leo hii watu tunajaji ma barmed kwa group ila sio kwa mmoja mmoja yawezekana ma weita wa kike ni malaya ila sio wote

Tuache kujaji watu kwa magroup watu sio mchele tuanze kujaji mtu mmoja mmoja kwa mazingira yake

Leo hii watu wanaona ma bikra km ndo wake wa kuoa ila kuna watu wameoa hao ma bikra na ndoa zikafa ndani ya mda mfupi
Bint umeoa bikra baada tu yakuonja mboo ya mumewe akajua ilivyo tamu bas anabadilika apo apo na kuanza umalaya mwisho wa sku ndoa inakufa

Tuache kujaji watu kwa magroup wauza kuku, ma barmedi, wachora tatoo tujaji mtu mmoja mmoja kwa tabia zake sio kwa kundi kuna makahaba wanaolewa na wanatulia kwenye ndoa zao kuzid ata hao waliooa bikra
 
Hivi haya maneno huwa mnayatoa wapi? Sheria zipi? Sema Uchumi haumruhusu tu
 
Mkuu nikuambie tu jambo, KUNGURU HAFUGIKI, Huyo demu wewe uwe unakula tu lakini sio kuweka ndani, utajuta. Kwanza ni waongo sana hao atakuambia ameacha kudanga kumbe analiwa Bado kimya kimya.
 
Bora uoe mwingine aje abadilike baadae. Kuliko kuoa mtu ambaye tungesema ameshabadilika. Mazingira ya bar si salama na ndoa Haina kujaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…