Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Hivi we madame sio mmasai?hahaha aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi we madame sio mmasai?hahaha aisee
Kama unaona we oa tu, for as long yupo anakidhi vigezo vyako .Nataka kuoa mmasai naomba kujuzwa mambo kadhaa wawapo ndani ya ndoa
Jomba [emoji3][emoji3][emoji3]sisi tulioishi longido na donyosambu ndo tunajua wadada wa kimasai wakoje asee.maana usiku ilikuw tunanyata tunaingia kwenye boma zao wamelala.unapiga mzigo hd unaondoka ye hata hajajigusa ni km maiti vile.kwaiyo uamue tuu mwenyewe ila nnachoamini wamasai wako vizuri kichwani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna kipindi nilikuwa natoka na mmasai fulani hivi. Siku ya kwanza kucheza nae mechi, nashangaa ile nimeanza hata dakika 2 sina, naona mtu anaanza kulia. Nikahisi labda namuumiza, so ikabidi nisitishe zoezi kidogo. Huku namshangaa,namuuliza vipi mbona unalia, au nakuumiza?
Ajabu na yeye akawa ananishangaa,then akajibu eti alisikia wenzake wanasema ukifanya mapenzi mwanamke lazima ulie, so na yy ndio analia.
Hawa masai wengi wana magonjwa ya kurithiTeh teh comment za humu[emoji1787][emoji28]
Yeroo subai
We kunguni huendi mbinguni sio kwa kufukunyua mafaili ivooo kama upo TISS vile aiseeee. ShikamoooHivi hapa Dar ulishawahi ona msiba wa masai?
Just curious!
Yapi mkuuHawa masai wengi wana magonjwa ya kurithi
...nimeoa mmasai tangu 2012...ni wanawake bora kupata kutoka.
...mke wangu ni mzuri sana wa umbo,sura na tabia.-..hajakeketwa coz ni masai wa mjini.
Downs syndrome.Yapi mkuu
Wee usinambie..Downs syndrome.
Nimefanya kazi monduli na karatu. Haka kaugonjwa wanako.
Inasemekana zaman mmasai akizaa mtoto mwenye ulemavu wa viungo( kilema) samahani wajuvi kwa neno kilema nililotumia.
Walikuwa wanauwa. Sasa ni kama kunakuwaga na kalaana hako.
Nimekytana na cases nyingi za DOWNS SYNDROME huko monduli, ngoro ngoro na karatu
Si ndo ya kujifungua mtoto mwenye upungufu wa akili?Hawa masai wengi wana magonjwa ya kurithi
Haahaahaa so analia kama " ile mila etu imesema shieeee[emoji1787][emoji1787][emoji28], badala alilie mkwajuKuna kipindi nilikuwa natoka na mmasai fulani hivi. Siku ya kwanza kucheza nae mechi, nashangaa ile nimeanza hata dakika 2 sina, naona mtu anaanza kulia. Nikahisi labda namuumiza, so ikabidi nisitishe zoezi kidogo. Huku namshangaa,namuuliza vipi mbona unalia, au nakuumiza?
Ajabu na yeye akawa ananishangaa,then akajibu eti alisikia wenzake wanasema ukifanya mapenzi mwanamke lazima ulie, so na yy ndio analia.
Nakuelewa sana mkuu....hapo kweli mkuu..nilitoa ng'ombe na vimbuzi vya kutosha.
Hata ulemavu wa viungo. Kabla kuja chanjo ya polio wamasai na hivi utandawazi na tiba za kisasa zilichelewa wafikia kutokana na style ya maisha yao yaani waliwakill sana watoto walioluwa naWee usinambie..
Mi nilisikia ya wakizaa mtoto mwenye ualbino ndo wanaua
Duuh hii hatareeHata ulemavu wa viungo. Kabla kuja chanjo ya polio wamasai na hivi utandawazi na tiba za kisasa zilichelewa wafikia kutokana na style ya maisha yao yaani waliwakill sana watoto walioluwa na
Matatizo ya ulemavu wa viungo pia.
Sema hiyo downs syndrome nimeikuta sana kwao maana wamasai huoana wao kwa wap. Ni ngumu kwenda kuoa jamii au kabila nyingine. Ndo maana magonjwa ya kurithi yanakuwepo kwao